Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Kikwete awataka Walemavu kutokumlaumu mwenyezi Mungu kwa Ulemavu wao

unnamed (23)

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa Kituo cha walemavu cha Raisbura Bwana Mohamed Chitawala baadhi ya vyakula alivyowaletea- mchele, unga, mafuta ya kupikia, sukai, soda na vinginevyo wakati alipotembelea kituo cha walemavu cha Rasibura huko Lindi siku ya Pasaka.

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi

Watu wenye ulemavu wa viungo wametakiwa  kutosikitika kwanini Mwenyezi Mungu aliwaumba hivyo na kujiona wanyonge bali wajione wako  sawa na watu wengine  kwani  katika maisha ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afanya Kisomo Kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kupona

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya Mashekhe na wageni waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu baada ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama kilichofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumapili Desemba 7, 2014.Mjukuu wa Rais, Ayman Ridhiwani Kikwete akicheza kwa furaha wakati Babu yake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru wageni na Mashekhe waliohudhuria hafla ya kisomo maalum kilichofanyika katika viwanja vya...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete awataka wazazi na walezi kuwekeza katika elimu ya watoto wao

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi.
Wazazi na walezi wilayani Lindi mjini  wametakiwa kuwekeza katika elimu ya  watoto wao kwa kuhakikisha wanakwenda shule kwa wakati kwani  elimu ni ukombozi wa maisha na kuolewa katika umri mdogo kwa watoto hao hakutawasaidia kimaisha.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea  kwa nyakati tofauti  na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi ya Chama...

 

10 years ago

Michuzi

JK afanya Kisomo Kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kupona

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia  Mashekhe na wageni waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu baada ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama kilichofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo. Mjukuu wa Rais,  Ayman Ridhiwani Kikwete akicheza kwa furaha wakati Babu yake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru wageni na Mashekhe waliohudhuria hafla ya kisomo maalum kilichofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo

 

5 years ago

Michuzi

MZEE ALI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA 95, WATANZANIA WAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMPA AFYA NJEMA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.

Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea  kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...

 

10 years ago

Vijimambo

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais Magufuli asema ana imani ugonjwa wa corona umeondolewa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu

Rais Magufuli aliwaomba raia wa taifa hilo kutumia siku tatu kuanzia tarehe 17 hadi 19 Aprili 2020, kumuomba Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na janga la ugonjwa wa corona.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyezi Mungu utunusuru Watanzania na ajali hizi

> ‘Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu wetu wote wapumzike kwa amani.’ Amina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani