Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA MAKINDA: TUFIKIRIE KWANZA AFYA ZETU TUJIUNGE NA NHIF


Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Mama Anne Makinda akizindua mpango wa Machinga Afya unaotoa fursa kwa machinga kujiunga na huduma za matibabu kwa gharama nafuu.Sehemu ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF.Mwanachama kupitia mpango wa Machinga Afya akifuarahia baada ya kupokea kadi yake ya matibabu.Mama Anne Makinda akikabidhi kadi kwa wanachama wapya kupitia mpango wa Machinga Afya.Mwenyekiti wa Bodi Mama Anne Makinda...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tufikirie kwanza afya zetu tujiunge na NHIF- Mama Makinda


Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Mama Anne Makinda akizindua mpango wa Machinga Afya unaotoa fursa kwa machinga kujiunga na huduma za matibabu kwa gharama nafuu.Sehemu ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF.Mwanachama kupitia mpango wa Machinga Afya akifuarahia baada ya kupokea kadi yake ya matibabu.Mama Anne Makinda akikabidhi kadi kwa wanachama wapya kupitia mpango wa Machinga Afya.Mwenyekiti wa Bodi Mama Anne Makinda...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF WAENDELEA KUSAIDIA HUDUMA KWENYE WODI YA AKINA MAMA NA WATOTO KITUO CHA AFYA MLANDIZI

 Mwenyekiti wa kamati ya kituo cha afya Mlandizi, bw Makamba Mwaluka (watatu kushoto), akiwakaribisha wageni kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya baada ya kufanya ziara katika wodi ya akina mama na watoto Kituo cha Afya Wilayani Mlandizi. Juni 12,2014 na kukabidhi mashuka kwenye kituo hicho (kulia kwake), Muendeshaji shughuli mama Gaudensia Ndegea (katikati kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha, Michael John, na Mjumbe wa bodi NHIF, bwana Charlse Kajege.  

 

9 years ago

Dewji Blog

Afya zetu; Mabadiliko katika upasuaji wa uvimbe wa saratani

Dk. Umanath Nayak, mshauri mkuu wa  magonjwa ya saratani ya kichwa na shingo pamoja na upasuaji kwa njia ya roboti katika hospitali ya saratani ya Apollo Hyderabad nchini India.

Na Mwandishi Wetu,

Sekta ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu, na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya. Teknohama imekuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya ndani ya sekta hii muhimu. Makampuni...

 

11 years ago

Mwananchi

Afya za vijana wa leo ni mbaya ukilinganisha na enzi zetu

Wiki iliyopita mwanasoka maarufu, Yaya Toure, alikumbusha suala la afya alipofanya mahojiano na gazeti mashuhuri Uingereza- Daily Mail.

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Ofisa Uratibu na Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Genoveva Vicent (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wengine wa pili kushoto ni Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda na Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu.Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF.Mtaalamu wa Maabara wa Hospitali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Ofisa Uratibu na Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Genoveva Vicent (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wengine wa pili kushoto ni Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda na Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu.Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF.
Mtaalamu wa Maabara wa Hospitali ya...

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Vinywaji baridi vya kuchangamsha hatari kwa afya zetu

Oktoba 2014, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilionya ongezeko la vinywaji vya kuchangamsha. Takwimu za WHO zilinguruma, “energy drinks” (kwa kimombo), hutumiwa zaidi na asilimia 68 ya vijana, watoto chini ya miaka 10 asilimia 18, na asilimia 30 ya watu wazima. Onyo lilizingatia madhara ya vinywaji hivi vyenye ladha tamu inayowavutia watoto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani