Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA RWAKATARE HAFIKURII KUGOMBEA UBUNGE MWAKANI

Stori:Mwandishi Wetu
Mbunge wa Viti Maalum CCM ambaye pia ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mikocheni B Assemblies of God jijini Dar, Dk. Getrude Rwakatare (pichani) ameibuka na kusema hafikirii kugombea nafasi hiyo mwakani. Mbunge wa Viti Maalum CCM ambaye pia ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mikocheni B Assemblies of God jijini Dar, Dk. Getrude Rwakatare. Akizungumza na gazeti hili juzi jijini Dar, Mama Rwakatare alisema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA RWAKATARE AFIKISHWA POLISI

Waandishi Wetu
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Mikocheni B Assemblies of God jijini Dar, Dk. Getrude Rwakatare (pichani) amefunguliwa mashitaka katika Kituo cha Polisi Wazo Hill kwa uharibifu wa mali inayodaiwa ina thamani ya shilingi milioni 20. Bw. Grayson Justine anayelalamika kuvunjiwa nyumba yake na Mch. Getrude Rwakatare. Taarifa zilizopatikana katika kituo hicho zenye Jalada la Kumbukumbu WH/RB/9029/2014 UHARIBIFU WA...

 

10 years ago

GPL

KESI YA MAMA RWAKATARE FAILI LAIBWA!

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Assemblies of God jijini Dar, Dk. Getrude Rwakatare. Sakata la Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Assemblies of God jijini Dar, Dk. Getrude Rwakatare (pichani) kufunguliwa kesi ya uharibifu wa mali katika Kituo cha Polisi cha Wazo Hill, limechukua sura mpya baada ya faili la kesi hiyo kupotea katika mazingira ya kutatanisha, huku ikidaiwa kwamba limeibwa. Kufuatia kudaiwa kuibwa kwa faili hilo...

 

9 years ago

Global Publishers

Jumba la Mama Rwakatare, Hoteli za Double Tree na Slip Way Kubomolewa

1Jumba la Mchungaji Mama Rwakatale Wakati operesheni ya kuweka alama ya X kwenye nyumba zilizojengwa mabondeni, maeneo ya wazi na kinyume na taratibu ikiendelea, Hoteli za Double Tree na Slip Way nazo zimekumbwa na pigo hilo. Hoteli hizo pamoja na nyumba ya Maheshbhai Patel na baadhi ya wamiliki wengine wa nyumba ambao kuta zake zimejengwa karibu na barabara ya Slip Way eneo la Msasani Peninsula, wamepewa siku saba kuzibomoa. 3 Jumba la Mama Rwakatale likiwa limekewa alama ya X Jana,...

 

5 years ago

CCM Blog

BREAKING NEWS: MCHUNGAJI MAMA GERTRUDE RWAKATARE AFARIKI DUNIA

Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020.

Mtoto wake Muta Rwakatare amethibitisha.
Taarifa zaidi tutawaletea kadri tutakavyoendelea kupata taarifa.

 

5 years ago

CCM Blog

ASKOFU MAMA RWAKATARE AZIKWA KANISANI KWAKE MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM, LEO


Baadhi ya Waombolezaji wachache wakiwa katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Morogoro Askofu Mama Getrude Rwakatare yaliyofanyika kwenye kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B jijini Dar es Salaam, leo

MIKOCHENI, Dar es Salaam
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Morogoro na Kiongozi wa Kanisa la Mikocheni B Assembly of God (Mlima wa Moto), Askofu Mama Getrude Rwakatare amezikwa leo katika Kanisa lake hilo lililopo Mikocheni B, jijini Dar es Salaam.

Mazishi hayo...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana kung’ara urais, ubunge, mwakani, atabiri Shehe Hassan

Maalim Hassan Yahya Hussein MRITHI wa kazi za Shekhe Yahya Hussein, Maalim Hassan Yahya Hussein ametabiri kuwa mwaka ujao utakuwa ni wenye mafanikio ya uongozi kwa vijana.

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Mama Hillary Clinton kuwania urais wa marekani mwakani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Zamani wa Marekani  Mama Hillary Clinton akiwa na wenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa Ikulu Dar es salam wakati alipotembelea Tanzania June 13, 2011.Imetangazwa leo kuwa Mama Clintoameamua kujitosa katika kuwania nafasi ya Urais wa nchi hiyo mwakani. John Podesta, Meneja wa kampeni wa Clinton leo katuma email kwa wanaomuunga mkono, kwamba  Clinton yumo katika mbio hizo,Podesta amesema  Clinton anaelekea Iowa kukutana na wapiga kura...

 

9 years ago

GPL

DAVINA AHAMASIKA KUGOMBEA UBUNGE

Na Hamida Hassan HALIMA Yahya ‘Davina’ amehamasika na mambo ya kisiasa hivyo, kujiandaa kwa kujifua vyema kwa ajili ya msimu ujao wa uchaguzi (2020). Halima Yahya ‘Davina’ . Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Davina ambaye ni msanii wa filamu Bongo, alisema kufuatia kupata fursa ya kushiriki kampeni kwa nafasi yake, maeneo mbalimbali ya nchi, amejikuta akishawishika kuwa kiongozi na kwamba baada ya miaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani