News alert: Mama Hillary Clinton kuwania urais wa marekani mwakani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Zamani wa Marekani Mama Hillary Clinton akiwa na wenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa Ikulu Dar es salam wakati alipotembelea Tanzania June 13, 2011.Imetangazwa leo kuwa Mama Clintoameamua kujitosa katika kuwania nafasi ya Urais wa nchi hiyo mwakani. John Podesta, Meneja wa kampeni wa Clinton leo katuma email kwa wanaomuunga mkono, kwamba Clinton yumo katika mbio hizo,Podesta amesema Clinton anaelekea Iowa kukutana na wapiga kura...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Hillary Clinton kuwania urais Marekani
10 years ago
Vijimambo14 Apr
Hillary Clinton atangaza kugombea urais Marekani
![](http://gdb.voanews.com/3DB961A2-D459-40BD-AB02-E9DCCEF668B9_w640_r1_s.jpg)
Hillary Clinton, mke wa rais wa zamani Bill Clinton, ametangaza kuwaanagombania urais wa Marekani mwaka 2016.
Kulingana na John Podesta, mshauri mwandamizi wa Bi Clinton waziri wa mambo ya nje katika awamu ya kwanza ya Rais Barack Obama, alitangaza nia yake kwa kutuma email Jumapili kwa wafadhili na watu waliomuunga mkono katika kampeni yake ya kwanza ya urais mwaka 2008.
Baadaye Clinton alitangaza rasmi ugombea wake katika...
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Hillary Clinton atangaza kugombea urais
9 years ago
CNN22 Oct
Is Tanzania having a Hillary Clinton moment?
CNN
CNN
Reporting for this story was made possible by the International Women's Media Foundation's African Great Lakes Reporting Initiative. (CNN) Rehema Mayuya has caused quite the scandal. It started when she convinced her 56-year-old husband, Thabit Yusuf ...
9 years ago
BBCSwahili23 Oct
Bi Hillary Clinton awalaumu wapinzani
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZFVQGyC-7KjbBrdE-6RhTkJEUH6HFxFbPEWhXcCl-QxfEdB2WKK5x3*tXVakwRTuXtamogaKI4nHrLHWgjuHsOLHTQvuSJAF/hillaryclintonisrunningforpresident.jpg?width=650)
BARUA PEPE ZA HILLARY CLINTON KUKAGULIWA
10 years ago
Habarileo27 Sep
Bill, Hillary Clinton wapata mjukuu
CHELSEA Clinton wa Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton na mkewe Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Hillary Clinton, amejifungua mtoto wa kike.
9 years ago
Bongo512 Oct
Katy Pery kumfanyia kampeni Hillary Clinton