DAVINA AHAMASIKA KUGOMBEA UBUNGE
![](http://api.ning.com:80/files/0qR8BrPZ-VZiXuwzmHKt9m*JQENispVEO92rG8FQl1VsQ2EL*ZGXEnHlsO9vVX9518llKg82iT8YF1JfORwZJgyJkSEwY0pW/Davina.jpg)
Na Hamida Hassan HALIMA Yahya ‘Davina’ amehamasika na mambo ya kisiasa hivyo, kujiandaa kwa kujifua vyema kwa ajili ya msimu ujao wa uchaguzi (2020). Halima Yahya ‘Davina’ . Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Davina ambaye ni msanii wa filamu Bongo, alisema kufuatia kupata fursa ya kushiriki kampeni kwa nafasi yake, maeneo mbalimbali ya nchi, amejikuta akishawishika kuwa kiongozi na kwamba baada ya miaka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
10 years ago
Bongo Movies20 Jun
JB Akanusha Kugombea Ubunge Kinondoni
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amekanausha taarifa za kutaka kugombea ubunge jimbo la kinondoni ambazo zimekuwa zikienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.
JB ameeleza kuwa japo watu mbali mbali wamekuwa wakimfuata na kumtaka agombee yeye amekuwa akiwashukuru na kuwaeleza kuwa anaipenda sana kazi yake ya uigizaji.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram aliyaeleza hayo akiwa anatolea ufafanuzi kile ‘mrekebishatabia’ alichokiandika kwenye mtandao...
11 years ago
Habarileo18 Dec
Mrema kugombea ubunge 2015
MBUNGE wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP), amesema atagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015 katika jimbo hilo na kutoa hadhari kwa wanaolinyemelea.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-bQoS4epcJHM/VVJ_pV8hhJI/AAAAAAADmyU/N311MINyUZg/s72-c/Dismas%2Bakiteta%2Bna%2Bjambo%2Bna%2Bmkewe%2BRightness%2C%2Bnyuma%2Bni%2Bmtoto%2Bwao%2BGrace%2C%2Bpicha%2Bna%2Bmpiga%2Bpicha%2Bwetu.jpg)
DISMAS LYASSA KUGOMBEA UBUNGE
![](http://1.bp.blogspot.com/-bQoS4epcJHM/VVJ_pV8hhJI/AAAAAAADmyU/N311MINyUZg/s640/Dismas%2Bakiteta%2Bna%2Bjambo%2Bna%2Bmkewe%2BRightness%2C%2Bnyuma%2Bni%2Bmtoto%2Bwao%2BGrace%2C%2Bpicha%2Bna%2Bmpiga%2Bpicha%2Bwetu.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-RIfsm0kkdX0/VVJ_pUQVP7I/AAAAAAADmyQ/7IjRLrJKqc8/s640/Dismas%2BLyassa%2Bakizungumza%2Bna%2Bbaadhi%2Bya%2Bvijana%2Bkatika%2Bkijiji%2Bcha%2BIhenga%2Bambao%2Bwamekuwa%2Bwakifanya%2Bshughuli%2Bza%2Bkuvusha%2Bwatu%2Bbaada%2Bya%2Bbarabara%2Bkujaa%2Bmaji%2C%2Bpicha%2Bya%2Bmpiga%2Bpicha%2Bwetu.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-003o467dEOM/VVJ_pS7d5aI/AAAAAAADmyM/A5riZX-egRE/s640/Kutokana%2Bna%2Bmagari%2Bkusitisha%2Bshughuli%2Bzao%2Bkutoka%2BIfakara%2Bkwenda%2Bvijijji%2Bmbalimbali%2Bvya%2BKilombero%2Bwananchi%2Bwengi%2Bwamekuwa%2Bwakitembea%2Bkwa%2Bmiguu%2Bkama%2Bhivi%2C%2Bhapa%2Bilikuwa%2Bni%2Beneo%2Bla%2BIhenga%2Blinalounganisha%2Bkata%2Bza%2BMofu%2Bna%2BIfakara.jpg)
Ndugu Wanahabari
Uchaguzi Mkuu wenye lengo la kuwapata Madiwani, Wabunge na...
10 years ago
Bongo Movies27 Jun
Steve Nyerere: Sijakurupuka Kugombea Ubunge
Staa wa Bongo Movies na aliyekuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Unit, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ ambaye wiki iliyopita alitangaza niua yake ya kugombe ubunge mwaka huu wa uchaguzi amedai kua hajakurupuka kuutaka ubunge kupitia jimbo la Kinondoni na kuwa ataendeleza sanaa hata akiwa mbunge.
Akizungumza na millardayo.com alisema..’Kwanza ninataka kuwahakikishia watanzania sijakurupuka, nimekuwa mwanachama wa chama cha Mapinduzi umoja wa vijana almost miaka 25 na sasa hivi nina miaka 29...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZBStZ816j1rLYzHjKSsM*bPlaLOicGfyxwiVTIsrROlT2GLDlUmZJXqy6NzPUmNvSlGrCb7D6DmuOGPqRxYBh9HsbGrGq8Y/Wema.gif?width=650)
ALIYEMSUKUMA WEMA KUGOMBEA UBUNGE AJULIKANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXr9W-FOwJRZRHtpHPJ9Prp5Ktiy8YBdSBGM-0NFpUY0Wz5nh2**BZRYq4t-ZOyqZKTaGJA-ydeeEzbG8AIp2pRp/WASTARA2G.jpg?width=650)
WASTARA ATAJA SABABU ZA KUGOMBEA UBUNGE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ykZ*wTWqMzaT*hNKr7Z5rJ3f38oEQ1MozntMdk3BQa7o4aGb1wGhlmw-Diy4OyD7NfFw4CH9dqmOlQYADkoU7N6RIk3M4RIV/Wastara.gif?width=650)
KUGOMBEA UBUNGE KWAMPA UGONJWA WASTARA