Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUGOMBEA UBUNGE KWAMPA UGONJWA WASTARA

Hamida Hassan Siasa zisikie tu! Baada ya kukosa nafasi ya ubunge wa viti maalum aliyokuwa akigombea, msanii wa filamu Wastara Juma amejikuta akiumwa na muda mwingi kutobanduka kitandani.Akizungumzia hali yake ya kiafya kwa sasa, Wastara alisema licha ya kujisikia kidogo afadhali, bado si mzima kwani amepata vidonda vya tumbo ambavyo vilitokana na kutokula muda mrefu kwa sababu ya hofu aliyokuwanayo kwenye mchakato.  ...Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA ATAJA SABABU ZA KUGOMBEA UBUNGE

Wtaa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma. Na Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) huko Morogoro Vijijini alikozaliwa, staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ameibuka na kueleza kwamba ameamua kufanya hivyo ili kuwatetea walemavu na watoto wa kike. Akipiga stori na Ijumaa, Wastara alisema wananchi ambao ni walemavu wamekuwa hawatendewi haki...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AFURAHIA KUPIGWA CHINI UBUNGE

Gladness Mallya BAADA ya kupigwa chini katika kinyang’anyiro cha kuwania Ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya CCM Morogoro Vijijini, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma ametoa kituko cha mwaka baada ya kusema amejisikia vizuri kwa madai kuwa atapata muda wa kujipanga zaidi.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1H1bipo

 

9 years ago

GPL

DAVINA AHAMASIKA KUGOMBEA UBUNGE

Na Hamida Hassan HALIMA Yahya ‘Davina’ amehamasika na mambo ya kisiasa hivyo, kujiandaa kwa kujifua vyema kwa ajili ya msimu ujao wa uchaguzi (2020). Halima Yahya ‘Davina’ . Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Davina ambaye ni msanii wa filamu Bongo, alisema kufuatia kupata fursa ya kushiriki kampeni kwa nafasi yake, maeneo mbalimbali ya nchi, amejikuta akishawishika kuwa kiongozi na kwamba baada ya miaka...

 

11 years ago

Habarileo

Mrema kugombea ubunge 2015

Augustine Lyatonga MremaMBUNGE wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP), amesema atagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015 katika jimbo hilo na kutoa hadhari kwa wanaolinyemelea.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Akanusha Kugombea Ubunge Kinondoni

Staa mkubwa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amekanausha taarifa za kutaka kugombea ubunge jimbo la kinondoni ambazo zimekuwa zikienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.

JB ameeleza kuwa japo watu mbali mbali wamekuwa wakimfuata na kumtaka agombee yeye amekuwa akiwashukuru na kuwaeleza kuwa anaipenda sana kazi yake ya uigizaji.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram aliyaeleza hayo akiwa anatolea ufafanuzi kile ‘mrekebishatabia’ alichokiandika kwenye mtandao...

 

10 years ago

Vijimambo

DISMAS LYASSA KUGOMBEA UBUNGE

Dismas akiteta na jambo na mkewe Rightness, nyuma ni mtoto wao Grace, Dismas Lyassa akizungumza na baadhi ya vijana katika kijiji cha Ihenga ambao wamekua wakifanya shughli za kuvusha watu baada ya barabara kujaa maji, Kutokana na magari kusitisha shughuli zao kutoka Ifakara kwenda Kilomberoa Wananchi wengi wamekua wakitembea kwa miguu kama hivi hapa ilikua ni eneo la Ihenga linalounganisha kata za Mofu na Ifakara

Ndugu Wanahabari
Uchaguzi Mkuu wenye lengo la kuwapata Madiwani, Wabunge na...

 

10 years ago

GPL

ALIYEMSUKUMA WEMA KUGOMBEA UBUNGE AJULIKANA

Erick Evarist MADAM Wema Sepetu ameweka bayana kuwa mtu aliyemsukuma kujiingiza kwenye siasa ni marehemu baba yake, Abraham Sepetu.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Wema ambaye juzi alitarajiwa kuchukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, alisema marehemu baba yake alimpa wazo hilo miaka mitano iliyopita. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1I7TqR0 ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kingwendu Kugombea Ubunge Mwaka Huu!!

Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa Bongo, Rashid Mwinshehe  "Kingwendu", amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ambacho amedai Kuwa anaona Kinapendwa na Watanzania wengi bila ya Kutaja Jina la Chama hicho wala Jimbo atakalogombea.

Wataalamu wa Masuala ya Kisiasa Nchini, wameitafsiri Kauli hiyo ya Kingwendu Kwa Mitazamo tofauti, huku Wengi Kati yao Wakisema Kuwa Upinzani Una Nguvu Kubwa hivi sasa hapa Nchini, hivyo Sio ajabu Kwamba yawezekana Msanii huyu amevutiwa na Kuamua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani