Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA AFURAHIA KUPIGWA CHINI UBUNGE

Gladness Mallya BAADA ya kupigwa chini katika kinyang’anyiro cha kuwania Ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya CCM Morogoro Vijijini, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma ametoa kituko cha mwaka baada ya kusema amejisikia vizuri kwa madai kuwa atapata muda wa kujipanga zaidi.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1H1bipo

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA ATAJA SABABU ZA KUGOMBEA UBUNGE

Wtaa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma. Na Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) huko Morogoro Vijijini alikozaliwa, staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ameibuka na kueleza kwamba ameamua kufanya hivyo ili kuwatetea walemavu na watoto wa kike. Akipiga stori na Ijumaa, Wastara alisema wananchi ambao ni walemavu wamekuwa hawatendewi haki...

 

9 years ago

GPL

KUGOMBEA UBUNGE KWAMPA UGONJWA WASTARA

Hamida Hassan Siasa zisikie tu! Baada ya kukosa nafasi ya ubunge wa viti maalum aliyokuwa akigombea, msanii wa filamu Wastara Juma amejikuta akiumwa na muda mwingi kutobanduka kitandani.Akizungumzia hali yake ya kiafya kwa sasa, Wastara alisema licha ya kujisikia kidogo afadhali, bado si mzima kwani amepata vidonda vya tumbo ambavyo vilitokana na kutokula muda mrefu kwa sababu ya hofu aliyokuwanayo kwenye mchakato.  ...Soma...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi Ludewa wamzomea mgombea ubunge aokolewa kupigwa kisa uongo kumtukana Filikunjombe

Kada wa CCM anayeomba  kuteuliwa  kugombea ubunge jimbo la Ludewa kepten mstaafu Jacob Mpangala ambae jana amezomewa mkutanoni na kuokolewa  kichapwa baada ya kujinadi kwa kutumia lugha za matusi na uongo dhidi ya mbunge Deo  Filikunjombe. Mbunge Filikunjombe akiwapungia mkoano  wananchi wa mndindi baada ya kujinadi. Wananchi wa kata ya Ibumi  wakiwa  wametuliwa wakimsikiliza kwa makini mbunge Filikunjombe wakati akiomba  kura zao. Filikunjombe akisisitiza jambo wakati akiomba kura kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Weekend ya uchaguzi: Msanii Ksher kapita kwenye Ubunge, Wastara na Wema Sepetu hawakupata za kutosha


2015 tumeshuhudia mastaa mbalimbali wa kike na wa kiume Tanzania wakitangaza nia ya kuingia bungeni akiwemo mwimbaji wa Taarab Mzee Yusuf, Profesa Jay, Steve Nyerere na kwa Wanawake waliojitokeza kuziwania nafasi za Ubunge wa viti maalum ni pamoja na waigizaji Wema Sepetu na Wastara, na msanii wa bongofleva Ksher.Wema Sepetu na Wastara hawakupita kutokana na kukosa kura za kutosha lakini Khadija Shaaban (Ksher) amepita tena ambapo alithibitisha hayo na wakati mwingi kwenye maneno yake ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KYSHER, PROF JAY WAPETA KWENYE KURA ZA MAONI UBUNGE, WEMA SEPETU, WASTARA WAANGUKA

 Weekend hii kulikuwa kuna heka heka ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya vyama mbalimbali, ili kuwezesha kupatikana kwa wawakilishi wao katika ngazi mbalimbali uchaguzi mkuu 2015.Mwaka huu tumeona pia muamko mkubwa kwa wasanii, na wadau kadhaa kujitosa kwenye medani za siasa.Taarifa ikufikie kuwa tayari wasanii kadhaa wameshajua hatma yao weekend hii, katika upande wa wasanii Wema Sepetu, Khadija “Kysher” Shaaban, Wastara Juma waliokuwa wakiwania kuwakilisha mikoa mbalimbali Ubunge viti...

 

11 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego adai hafanyi show chini ya milioni 5 , ‘ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi’

Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya Dar Es Salaam. Nay wa Mitego akiwa nyumbani kwake na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima Akizungumza na bongo5 leo, Nay , amesema imembidi apandishe gharama za show zake kutokana […]

 

9 years ago

Michuzi

NCCR-MAGEUZI KWAFUKUTA CHINI KWA CHINI

 NaChalila Kibuda,Globu ya Jamii CHAMA cha NCCR-MAGEUZI kimesema mkutano uliofanyika jana katika hoteli ya Land Mark  jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho hawajajua lengo lake kutokana na kutokwepo kwa baraka ya vikao kwa mujibu wa chama hicho.
Akizungumza leo  na waandishi habari jana Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Chama hicho, Mohamed Tibanyendela amesema kuwa mkutano huo hujafanyika kwa kufuata taratibu hivyo wanaamini kuwa walikuwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel itaharibu njia za chini kwa chini

Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema kuwa Isareli haina budi ila kuharibu uwezo wa Hamas kivita

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani