Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DISMAS LYASSA KUGOMBEA UBUNGE

Dismas akiteta na jambo na mkewe Rightness, nyuma ni mtoto wao Grace, Dismas Lyassa akizungumza na baadhi ya vijana katika kijiji cha Ihenga ambao wamekua wakifanya shughli za kuvusha watu baada ya barabara kujaa maji, Kutokana na magari kusitisha shughuli zao kutoka Ifakara kwenda Kilomberoa Wananchi wengi wamekua wakitembea kwa miguu kama hivi hapa ilikua ni eneo la Ihenga linalounganisha kata za Mofu na Ifakara

Ndugu Wanahabari
Uchaguzi Mkuu wenye lengo la kuwapata Madiwani, Wabunge na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Dismas Lyassa arejesha fomu ya kugombea Urais TUCTA

20140704_115635

Mhariri wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la Mwananchi Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu ya kugombea Urais  wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar es Salaam, Musa Mwakalinga. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 4-5, mwaka huu mkoani Dodoma. (Picha na Khamis Tembo).

20140704_115741

 

11 years ago

Michuzi

Mpiganaji Dismas Lyassa kuwania Urais COTWU kanda ya Dar es salaam

Mhariri wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la Mwananchi Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu ya kugombea Urais  wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar es Salaam, Musa Mwakalinga, jana ofisini kwake (kwa Mwakalinga). Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 4-5, mwaka huu mkoani Dodoma. Picha na Khamis Tembo.

 

9 years ago

GPL

DAVINA AHAMASIKA KUGOMBEA UBUNGE

Na Hamida Hassan HALIMA Yahya ‘Davina’ amehamasika na mambo ya kisiasa hivyo, kujiandaa kwa kujifua vyema kwa ajili ya msimu ujao wa uchaguzi (2020). Halima Yahya ‘Davina’ . Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Davina ambaye ni msanii wa filamu Bongo, alisema kufuatia kupata fursa ya kushiriki kampeni kwa nafasi yake, maeneo mbalimbali ya nchi, amejikuta akishawishika kuwa kiongozi na kwamba baada ya miaka...

 

11 years ago

Habarileo

Mrema kugombea ubunge 2015

Augustine Lyatonga MremaMBUNGE wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP), amesema atagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015 katika jimbo hilo na kutoa hadhari kwa wanaolinyemelea.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Akanusha Kugombea Ubunge Kinondoni

Staa mkubwa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amekanausha taarifa za kutaka kugombea ubunge jimbo la kinondoni ambazo zimekuwa zikienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.

JB ameeleza kuwa japo watu mbali mbali wamekuwa wakimfuata na kumtaka agombee yeye amekuwa akiwashukuru na kuwaeleza kuwa anaipenda sana kazi yake ya uigizaji.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram aliyaeleza hayo akiwa anatolea ufafanuzi kile ‘mrekebishatabia’ alichokiandika kwenye mtandao...

 

10 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere: Sijakurupuka Kugombea Ubunge

Staa wa Bongo Movies na aliyekuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Unit, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ ambaye wiki iliyopita alitangaza niua yake ya kugombe ubunge mwaka huu wa uchaguzi amedai kua hajakurupuka kuutaka ubunge kupitia jimbo la Kinondoni na kuwa ataendeleza sanaa hata akiwa mbunge.

Akizungumza na millardayo.com alisema..’Kwanza ninataka kuwahakikishia watanzania sijakurupuka, nimekuwa  mwanachama wa chama cha Mapinduzi  umoja wa vijana almost miaka 25 na sasa hivi nina miaka 29...

 

10 years ago

Michuzi

Mpiganaji Kakore kugombea Ubunge Same Magharibi

Mwandishi wa gazeti la DIMBA, Mpiganaji Ahadi Kakore (pichani) ametangaza nia kugombe Ubunge Jimbo la Same Magharibi, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).Akizungumza na jijini Dar es Salaam, Kakore alisema kuwa baada ya kujipima na kutafakari juu  ya matatizo yaliyopo kwenye Jimbo la Same Magharibi ameamua kuwania nafasi hiyo ili kupeleka mbele maendeleo yaliyokwama kwa miaka mingi.Alisema kuwa Jimbo la Same Magharibi ni miongoni mwa majimbo yenye matatizo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kingwendu Kugombea Ubunge Mwaka Huu!!

Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa Bongo, Rashid Mwinshehe  "Kingwendu", amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ambacho amedai Kuwa anaona Kinapendwa na Watanzania wengi bila ya Kutaja Jina la Chama hicho wala Jimbo atakalogombea.

Wataalamu wa Masuala ya Kisiasa Nchini, wameitafsiri Kauli hiyo ya Kingwendu Kwa Mitazamo tofauti, huku Wengi Kati yao Wakisema Kuwa Upinzani Una Nguvu Kubwa hivi sasa hapa Nchini, hivyo Sio ajabu Kwamba yawezekana Msanii huyu amevutiwa na Kuamua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani