Mpiganaji Kakore kugombea Ubunge Same Magharibi
Mwandishi wa gazeti la DIMBA, Mpiganaji Ahadi Kakore (pichani) ametangaza nia kugombe Ubunge Jimbo la Same Magharibi, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).Akizungumza na jijini Dar es Salaam, Kakore alisema kuwa baada ya kujipima na kutafakari juu ya matatizo yaliyopo kwenye Jimbo la Same Magharibi ameamua kuwania nafasi hiyo ili kupeleka mbele maendeleo yaliyokwama kwa miaka mingi.Alisema kuwa Jimbo la Same Magharibi ni miongoni mwa majimbo yenye matatizo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Kijana Kevin ACT- Wazalendo amvaa Mwigulu Nchemba Ubunge Iramba Magharibi
Kada wa chama cha ACT -Wazalendo Kevin Joseph Msunga.
Na Hillary Shoo, Iramba
Harakati za kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu zimezidi kushika kasi ambapo sasa imebaki Miezi miwili tu huku makada mbalimbali wakichuana kuteuliwa na vyama vyao.
Safari hii tofauti na chaguzi zilizopita wimbi la Vijana wamejitosa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.
Ni kutokana na hilo kada wa chama cha ACT -Wazalendo Kevin Joseph Msunga (30) amejitosa kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi...
11 years ago
Habarileo18 Dec
Mrema kugombea ubunge 2015
MBUNGE wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP), amesema atagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015 katika jimbo hilo na kutoa hadhari kwa wanaolinyemelea.
9 years ago
GPLDAVINA AHAMASIKA KUGOMBEA UBUNGE
10 years ago
Bongo Movies20 Jun
JB Akanusha Kugombea Ubunge Kinondoni
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amekanausha taarifa za kutaka kugombea ubunge jimbo la kinondoni ambazo zimekuwa zikienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.
JB ameeleza kuwa japo watu mbali mbali wamekuwa wakimfuata na kumtaka agombee yeye amekuwa akiwashukuru na kuwaeleza kuwa anaipenda sana kazi yake ya uigizaji.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram aliyaeleza hayo akiwa anatolea ufafanuzi kile ‘mrekebishatabia’ alichokiandika kwenye mtandao...
10 years ago
VijimamboDISMAS LYASSA KUGOMBEA UBUNGE
Ndugu Wanahabari
Uchaguzi Mkuu wenye lengo la kuwapata Madiwani, Wabunge na...
9 years ago
Michuzi14 Aug
MREMA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE
……………………………………………………………………………….. MGOMBEA ubunge jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama cha TLP ,Agustino Lyatonga Mrema ametamba kuwa jimbo hilo ni mali yake na hayuko tayari kuona likichukuliwa na manyang’au aliodai wa Ukawa. Mrema alitoa kauli hiyo...
10 years ago
GPLALIYEMSUKUMA WEMA KUGOMBEA UBUNGE AJULIKANA
10 years ago
Bongo Movies27 Jun
Steve Nyerere: Sijakurupuka Kugombea Ubunge
Staa wa Bongo Movies na aliyekuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Unit, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ ambaye wiki iliyopita alitangaza niua yake ya kugombe ubunge mwaka huu wa uchaguzi amedai kua hajakurupuka kuutaka ubunge kupitia jimbo la Kinondoni na kuwa ataendeleza sanaa hata akiwa mbunge.
Akizungumza na millardayo.com alisema..’Kwanza ninataka kuwahakikishia watanzania sijakurupuka, nimekuwa mwanachama wa chama cha Mapinduzi umoja wa vijana almost miaka 25 na sasa hivi nina miaka 29...