Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpiganaji Dismas Lyassa kuwania Urais COTWU kanda ya Dar es salaam

Mhariri wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la Mwananchi Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu ya kugombea Urais  wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar es Salaam, Musa Mwakalinga, jana ofisini kwake (kwa Mwakalinga). Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 4-5, mwaka huu mkoani Dodoma. Picha na Khamis Tembo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Dismas Lyassa arejesha fomu ya kugombea Urais TUCTA

20140704_115635

Mhariri wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la Mwananchi Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu ya kugombea Urais  wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar es Salaam, Musa Mwakalinga. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 4-5, mwaka huu mkoani Dodoma. (Picha na Khamis Tembo).

20140704_115741

 

10 years ago

Vijimambo

DISMAS LYASSA KUGOMBEA UBUNGE

Dismas akiteta na jambo na mkewe Rightness, nyuma ni mtoto wao Grace, Dismas Lyassa akizungumza na baadhi ya vijana katika kijiji cha Ihenga ambao wamekua wakifanya shughli za kuvusha watu baada ya barabara kujaa maji, Kutokana na magari kusitisha shughuli zao kutoka Ifakara kwenda Kilomberoa Wananchi wengi wamekua wakitembea kwa miguu kama hivi hapa ilikua ni eneo la Ihenga linalounganisha kata za Mofu na Ifakara

Ndugu Wanahabari
Uchaguzi Mkuu wenye lengo la kuwapata Madiwani, Wabunge na...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...

 

11 years ago

Michuzi

DAMAS LYASSA ATANGAZA RASMI VIPAUMBELE KATIKA UCHAGUZI WA URAIS TUCTA

Bw. Dismas Lyassa (katikati)) Mgombea Urais wa TUCTA; Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi akiongea na wanahabari leo.Kupata alichokisema BOFYA HAPA

 

9 years ago

Mtanzania

Priscilla Samweli ndiye Miss Albino Kanda ya Dar es Salaam

MISS ALBINONA GEORGE KAYALA

MREMBO kutoka Chanika, Priscilla Samweli (22) aliyenyakua taji la Miss Albino 2015 Kanda ya Dar es Salaam, juzi amekuwa mshiriki wa kwanza kusubiri washindi wengine watakaoshindanishwa katika kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Albino Tanzania.

Mratibu wa shindano hilo, Alexander Matowo, alisema shindano hilo linalofanyika kikanda, awamu ya kwanza imeanza kanda ya Dar es Salaam na Priscilla ameibuka mshindi, hivyo atapambanishwa na warembo wengine watakaopatikana katika kanda...

 

11 years ago

Michuzi

introducing Mwakilishi rasmi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma, mpiganaji Deusdedit Moshi

 Mtendaji Mkuu wa PHOTO SOLUTIONS na Mwakilishi rasmi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma, mpiganaji Deusdedit Moshi. Ofisi zetu zipo  Barabara Nyerere/Arusha Mtaa wa Uhindini mkabala na na Benki ya NBC Dodoma. Unaweza kumpata kupitia deusdeditmoshi@yahoo.com

 

10 years ago

Vijimambo

KAZI ZASIMAMA JIJINI DAR KUPISHA LOWASSA ACHUKUE FOMU YA KUWANIA URAIS

MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa amechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuwania nafasi hiyo leo Jumatatu Agosti 10, 2015.
Msafara wa Mgombea huyo ulioanzia kwenye Ofisi za Chama cha Wananchi CUF Buguruni na kuishia kwenye Ofisi za CHADEMA Kinondoni Jijini Dar es salaam na kupelekea msongamano mkubwa wa watu ambao wengi wao ni wafuasi wakuu wa vyama vinavyounda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani