Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA SAMIA AUNGURUMA SUMBAWANGA MJINI

 Bando la kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan,likiwa limeshikwa na wananchi katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa  leo Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo, ambako mgombea huyo alihutubia mkutano mkubwa wa kampeni. Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA ATUA KWA CHOPA NA KUUNGURUKA SUMBAWANGA MJINI LEO

 Bando la kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan,likiwa limeshikwa na wananchi katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa  leo Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo, ambako mgombea huyo alihutubia mkutano mkubwa wa kampeni. Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA AITEKA AUNGURUMA JIMBO LA UKONGA JIONI YA LEO

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi atika mutano wa kampeni uliofanyika leo, katika eneo la kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo). Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo.Wasanii waliopo katika kampeni ya Mama Ongea na Mwanao mpigie kura Dk. Magufuli, wakiwa kwenye mkutano huo

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AFUNIKA JIMBO LA GEITA MJINI LEO

 Maelfu ya wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Geita mjini mkoani Geita leoMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni aliofanya leo katika jimbo la Geita mjini mkoani Geita leo
 William Mabula aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la geita mjini kwa tiketi ya Chadema, lakini chama hichi kikamuengua dakika za...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AFUNIKA JIMBO LA MUSOMA MJINI LEO

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mwisenge jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara leoWananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika leo katika eneo la Mwisenge jimbo la Musoma mjini Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika leo katika eneo la Mwisenge jimbo la Musoma mjini Aliyekuwa ameomba ridhaa ya kuwania...

 

9 years ago

GPL

MAMA SAMIA AITEKA DODOMA MJINI, MAELFU WAFURIKA MKUTANO WAKE

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini.  Kijana akiwa na bango wakati akienda mkutano wa  kampeni za CCM Dodoma.…

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA SULUHU ALITEKA JIMBO LA MOSHI MJINI LEO AGOSTI 25, 2015

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa kampeni aliofanya kwenye Viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro, leo Agosti 25, 2015. (Picha na Bashir Nkoromo).Wananachi wakimpongeza mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya CCM Majengo jimbo la Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro leo, Agosti 25, 2015Sehemu ya wananchi...

 

9 years ago

CCM Blog

MAMA SAMIA ATUA MJINI ZANZIBAR, KUUNGURUMA NA DK. SHEIN LEO UWANJA WA DEMOKRASIA aka KIBANDA MAITI JIONI HII

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya mkutano wa kampeni utakaofanyika jioni hii kwenye Viwanja vya Demokrasia au Kibanda maiti
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mume wake, Hafidh Ameir, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai Ali Vuai
 Mgombea Urais kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI

 Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, AbdallaMadebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege, akibebwa na wananchi baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo. Pamoja na Katibu huyo wanachama wengine 38 walihamia CCM. Wananchi akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AFUNGA KAZI SUMBAWANGA MJINI

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa mji huo. Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly . Kada wa CCM Mzee Chrisant...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani