MAMA SHUJAA WA CHAKULA BI. BAHATI MURIGA AHUDHURIA TAFRIJA UBALOZINI
Bi. Bahati Muriga alifika Ubalozi wa Tanzania, Washington DC kuhudhuria tafrija iliyoandaliwa na Oxfam America. Bi. Muriga aliongelea maisha yake katika Mkoa wa Mwanza alipokuwa anafanya kazi kama Mkuu wa shule ya msingi, pamoja na hayo pia aliweza kuingia katika shughuli za kilimo akitafuta kipato ya kusomesha watoto wake wawili ili kuwapatia maisha bora. Ubalozi wa Tanzania Washington DC ulipata ugeni wa wasau kutoka mashirika mbalimbali waliokuja kuungana na Oxfam America inayoandaa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAMA SHUJAA WA CHAKULA BI. BAHATI MURIGA AHUDHURIA TAFRIJA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON DC
Ubalozi wa Tanzania Washington DC ulipata ugeni wa wasau kutoka mashirika mbalimbali waliokuja kuungana na Oxfam America inayoandaa Siku...
9 years ago
VijimamboMAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 BAHATI MURIGA KUHUDHURIA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI WASHINGTON DC
11 years ago
TheCitizen01 Jun
Meet Bahati, the 2014 lucky winner of Mama Shujaa wa Chakula Award
9 years ago
MichuziVOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO WASHINGTON DC KWA AJILI YA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Mama Shujaa wa Chakula 2013 aula
10 years ago
Michuzi18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
akizungumza na waandishi wa habari mmoja wa majaji waliohusika katika zoezi la kusahihisha fomu za washiriki, Zephania Mugittu alisema kuwa idadi ya washiriki...
11 years ago
Habarileo11 Jan
Grow yatua Mwanza kumsaka Mama Shujaa wa Chakula
KAMPENI ya Grow inayotetea haki ya chakula na uzalishaji imetua jijini Mwanza kwa ajili ya kuhamasisha wanawake wakulima na wafugaji kujitokeza na kujaza fomu za kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula.
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
18 watajwa kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015
Meneja Utetezi na Ushawishi wa Oxfam, Eluka Kibona akifungua mkutano wa kuwatangaza washindi wa waliongia katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015.
Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa Digital Consulting Ltd, Jairos Mahenge Mhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Dora Myinga Mkulima na Mjasiliamali, Mwandiwe Makame Mkulima na Mfugaji, Roselyn Kaihula kutoka Ekama Development.
Ofisa Mahusiano ya Ushawishi wa Oxfam Tanzania Suhaila Thawer akitoa maelezo...