Mama Swai:Mandela alinifunza uvumilivu
Haya ni mahojiano na Bi Vicky Nsilo Swai mkewe marehemu Nsilo Swai, aliyekuwa waziri katika serikali ya Tanzania.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili27 May
'Baba alinifunza kunywa pombe na kuvuta sigara'
11 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mama Maria Nyerere amsimulia Mandela
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Vicky NSILO Swai: Kura za maoni ni jinamizi litakaloiangamiza CCM
11 years ago
Habarileo11 Dec
Mandela kama Martin Luther, Mama Teresa na Gandhi
RAIS mstaafu wa Marekani, Jimmy Carter amesema Nelson Mandela, anafanana na watu wenye heshima katika historia duniani, akina Gandhi, Martin Luther King na Mama Teresa.
11 years ago
Habarileo19 Jan
Kanisa lapongeza uvumilivu Zanzibar
KANISA Katoliki leo linaadhimisha miaka 150 ya Imani Endelevu Katoliki Jimbo la Zanzibar huku likisifu uvumilivu wa kiimani uliokuwapo karne kadhaa na kulaani watu wachache wanaotumiwa kuharibu amani visiwani. Viongozi wa kanisa hilo wamesema matukio ya mwishoni mwa mwaka juzi na mapema mwaka jana ya baadhi ya viongozi wa Kanisa kuuawa kwa kupigwa risasi, kujeruhiwa na wengine akiwamo Shehe kumwagiwa tindikali, yalikusudiwa kuvuruga udugu uliodumu kwa amani karne na karne.
11 years ago
Mwananchi15 Sep
Dida: Ni uvumilivu unaonisaidia Yanga
9 years ago
Habarileo21 Dec
Zanzibar wapongezwa uvumilivu wa kisiasa
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Zanzibar kwa subira na uvumilivu wa kiwango cha juu waliouonesha wakati wakisubiri kujua hatima ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar ambao matokeo yake ya Oktoba 25, mwaka huu yalifutwa.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
‘Wajumbe hawana uvumilivu wa kisiasa’
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Bernadeta Kiliani, amesema kitendo kinachoendelea ndani ya bunge hilo kwa baadhi ya wajumbe kuzomeana na kutosikilizana ni ukosefu wa uvumilivu wa kisiasa. Alisema ni...
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Kerr ataka uvumilivu Simba
NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.
Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12, mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...