MAMA TUNU PINDA AMEZINDUA MFUKO WA ELIMU
![](http://4.bp.blogspot.com/-qoykAe5SFBE/UxwpDIZNtWI/AAAAAAAFSVo/N34Vjq9bliE/s72-c/unnamed+(4).jpg)
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akizindua mfuko wa Elimu Tanzania (TEF) kwa ajili ya kusaidia elimu ya msingi na sekondary kwa watoto wa kike na wakiume waliopo katika mazingira magumu. Kulia kwa mama Pinda ni Rais wa Tasisi ya mshikamano wa wanawake wa kiafrika kutoka nchini Maerkani Bibi Rwanda Saleem na kushoto kwake ni mwenyekiti wa chama cha walimu wanawake Tanzania (TAWOTEA) Mwalimu Fatuma Kambi. Sherehe hiyo imefanyika jijini Dar es salaam katika kusherehekea siku ya wanawake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-K_CHj5FHHM4/U2_PK1eDYVI/AAAAAAAFg-A/ViJvPgx2MBs/s72-c/unnamed+(5).jpg)
MAMA TUNU PINDA AOMBA WATU NA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA KUCHANGIA KATIKA KUENDELEZA ELIMU KWA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALIBINO)
![](http://1.bp.blogspot.com/-K_CHj5FHHM4/U2_PK1eDYVI/AAAAAAAFg-A/ViJvPgx2MBs/s1600/unnamed+(5).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-t9X_szdB1Lw/VEoKVzwavEI/AAAAAAAGtD0/fF_aSjW-ZyI/s72-c/DSC_0018.jpeg)
Mama Tunu Pinda Mgeni rasmi katika Mkutano wa akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza
Mama Tunu Pinda alihudhuria Mkutano huo kwa mualiko wa mwenyeji wake Mrs Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Tanzania Uk, Peter Kallaghe.
Mtoa mada aliyeongozana na Mama Tunu , alikuwa ni Mama Anna Matinde , mwanamke Mjasiriamali mahiri na aliyebobea ambaye ana kofia mbalimbali za Uwakilishi wa...
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Mama wa Mama Tunu Pinda azikwa Dar
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Bilal akimfariji mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda wakati alipokwenda Tabata magengeni jijini Dar es salaam, nyumbani kwa marehemu, Hajjat Pili Mlolwa Rehani ambaye ni mama wa Mama Tunu, aliyefariki Septemba 17, 2015. Kulia ni Mama Hasina Kawawa,watatu kulia ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba na wanne kulia ni Naibu Waziri wake Pindi Chana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akimfariji mke wa Waziri...
10 years ago
Vijimambo18 May
HITIMA YA BABA MZAZI WA MAMA TUNU PINDA YAFANYIKA
![TU1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/TU1.jpg)
![TU2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/TU2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Mama Tunu Pinda azindua Taasisi ya Manjano Foundation
![](http://1.bp.blogspot.com/-ay3W9oC4DVI/VWyC6OJ1WXI/AAAAAAAAHJc/6lIM2fm0IhY/s640/TUNU-3%2B%25281%2529.jpg)
Mgeni Rasmi kwenye halfa ua Uzinduzi wa Taasisi ya Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi Pendwa Vijulikanavyo kama Luv Touch Manjano Mke wa Waziri Mkuu Mh Tunu Pinda akitoa Hotuba yake katika Uzinduzi huo .
Katika Hotuba yake Mh Mama Pinda Alisema amefurahishwa sana Kwa Mwanamke wa Kitanzania Kuanzisha Bidhaa amabyo imeweza kushindana na Bidhaa kama hizo kutoka mataifa Mengine.Halfa hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Hafla hiyo ya uzinduzi ilifunguliwa na mke wa Waziri...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-KmD8TB6GbM8/U-s8OYitM4I/AAAAAAAF_Kg/RcMoGZmiqwk/s72-c/unnamed%2B(95).jpg)
Mama Tunu Pinda atunukiwa Cheti cha Ubalozi wa Amani Duniani
![](http://3.bp.blogspot.com/-KmD8TB6GbM8/U-s8OYitM4I/AAAAAAAF_Kg/RcMoGZmiqwk/s1600/unnamed%2B(95).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IcYpBkKs4Co/U-s8OoOCqII/AAAAAAAF_Kk/zURekWHBJmQ/s1600/unnamed%2B(96).jpg)
9 years ago
GPLMAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR
9 years ago
MichuziMAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziMAMA TUNU PINDA AYAOMBA MADHEHEBU YOTE NCHINI KUIOMBEA AMANI TANZANIA