Mama Zitto alazwa ICU Dar
Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania, (Chawata), Shida Salum, yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Ami, Masaki, Dar es Salaam akisumbuliwa na maradhi ya saratani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM29 May
MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE ALAZWA ICU DAR AKISUMBULIWA NA MARADHI YA SARATANI
Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania, (Chawata), Shida Salum, ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zito Kabwe yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Ami, Masaki, Dar es Salaam akisumbuliwa na maradhi ya saratani.
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Mtoto aliyefichwa uvunguni alazwa ICU
10 years ago
StarTV10 Jan
Mtoto afariki, Mama alazwa kwa kunywa pombe Singida
Na Emmanuel Michael,
Singida.
Suala la vinywaji ninavyodhaniwa kuwa na sumu limeendelea kuwa tishio kwa wakazi wa mkoa wa Singida baada ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja kufariki na mama yake mzazi kulazwa kwa matibabu baada ya kudaiwa kunywa pombe ya kienyeji inayodhaniwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lililotokea katika Kijiji Kidama-Ikungi limekuja siku chache baada ya watu wengine wanane wa familia tatu tofauti kulazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malikia wa Ulimwengu Puma mkoani humo kwa...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Hitima ya Mama Zitto keshokutwa
HITIMA ya aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Shida Salum, inatarajiwa kufanyika nyumbani kwake Tabata-Bima, Dar es Salaam Jumamosi ya wiki hii. Kwa mujibu...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Mama Zitto Kabwe afariki
BUNGE Maalum la Katiba limepata pigo baada ya kuondokewa na mjumbe wake, Shida Salum (64), ambaye ameugua kwa muda mrefu. Shida ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
CHADEMA wamlilia Mama Zitto
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza kupokea kwa majonzi makubwa msiba wa mjumbe wao wa Kamati Kuu ya Taifa, Shida Salum ambaye aliaga dunia jana jijini Dar es Salaam....
11 years ago
Habarileo02 Jun
Mama mzazi wa Zitto afariki dunia
MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, Shida Salum, amefariki dunia baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na maradhi ya saratani.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Mama mzazi wa Mh. Zitto Kabwe afariki dunia
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, asubui hii amefiwa na mama yake mzazi Bi Shida Salum, aliyeugua kwa muda mrefu.
Pichani ni Mama mzazi wa Zitto Kabwe enzi za uhai wake.
Taarifa ya msiba huu imethibitishwa na yeye mwenye Zitto Kabwe kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter kama inavyosomeka hapo chini.
MO BLOG tunatoa pole kwa Zitto Kabwe, familia na wote walioguswa na msiba huu Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.