Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo 5 tofauti katika #uchaguzi2015

Je unafahamu mambo matano makuu tofauti yanayoshuhudiwa katika #uchaguzi2015 ?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

UCHAGUZI2015:TANZANIA YAAMUA

Huku matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Tanzania yakiendelea kutolewa BBC inaendelea kukufahamisha kuhusu matukio tofauti nchini humo.

 

11 years ago

Habarileo

Watu 6 wafa katika matukio tofauti

WATU sita wamekufa katika matukio tofauti, ikiwemo maiti ya mtoto mchanga wa kiume iliyookotwa ikiwa imewekwa katika mfuko wa nailoni na kutupwa maeneo ya Pugu Kajiungeni, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wafa katika matukio tofauti

Watu watatu wamepoteza maisha katika matukio mawili tofauti yaliyotokea mkoani Pwani, lkiwamo la mtu mmoja kuteketea kwa moto uliosababishwa na radi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maoni kuhusu #uchaguzi2015 Zanzibar

Mwandishi wetu Sammi Awami yuko kisiwani Zanzibar kuwaulizeni maoni yenu kuhusu uchaguzi ujao

 

11 years ago

Habarileo

135 wauawa katika matukio tofauti Mbeya

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi WATU 135 wameuawa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani Mbeya katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Julai mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Wanne Moro wafa katika matukio tofauti

WATU wanne wamekufa na watano kujeruhiwa mkoani Morogoro katika ajali tofauti ikiwemo ya watoto wawili kufa baada ya nyumba waliokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa Kaimu kamanda John Laswai tukio hilo lilitokea Desemba 7 saa 4 usiku katika maeneo ya Mbuga Tarafa ya Ulanga Wilayani Uranga Mkoani hapa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Watano wafa katika matukio tofauti Singida

DSC00179111

Kamanda wa polisi Mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.

 Na Mwandishi wetu, Singida

Watu watano wakiwemo watatu wa familia moja,wameuawa katika matukio tofauti,likiwemo la wanafamilia hao kukatwa katwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za miiili yao na watu wasiofahamika.

Tukio hilo la mauaji lililowahusisha wanandoa hao lilitokea siku tano baada ya kuuawa kikatili kwa wanandoa wengine wawili,Bwana Ramadhan Lyanga (80) na Bi Aziza Ali (62) wakazi wa wilayani Iramba.

Akielezea matukio hayo,...

 

9 years ago

StarTV

Watu 8 wafariki Dunia katika matukioa tofauti Dodoma.

Watu nane wamefariki dunia katika matukio tofauti ambapo kati yao sita wa Familia moja katika  eneo la Kibaigwa Panda Mbili Dodoma kufatia gari walilokuwa wakisafilia lenye  namba za usajili T 516 DEP kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha maeneo ya kiteto.

Aidha Mmoja kati  yawaliofariki ni  msaidizi wa Mkuu wa jeshi la Polisi nchini afisa Mkaguzi wa Polisi  Inspeta Gerald Ryoba ambaye alikuwa akitoka mkoani Geita kuelekea jijini Dar es salaam akiwa na  familia yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani