Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo unayoweza kuyafanya kuboresha afya yako 2016

fitHERI YA MWAKA MPYA! Ni kawaida mtu kujiwekea malengo yake kila unapoanza mwaka, lakini kupitia kona hii ya masuala ya afya, napenda kushea na wewe mambo kadhaa unayoweza kuazimia na kuyafanya mwaka huu na kuboresha afya yako.

Elewa kwamba afya yako iko mikononi mwako, tabia ya maisha unayoishi ndiyo inayoamua afya yako iweje. Chakula unachokula ndicho kinachoamua mustakabali wa afya yako. Kama ulikuwa unayafanya haya, azimia kubadilika mwaka huu:

ACHA SODA
Unene wa kupita kiasi, kisukari,...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Je,unajua jinsi ya kuyafanya maisha yako yawe na shangwe ?

Siku hizi katika kila mji ninakokwenda, nastaajabu kuona nguzo za mabomba zinazochomoza kwenye mapaa ya nyumba na juu yake kumetundikwa vitu vya maumbo mbalimbali. 

 

10 years ago

Mwananchi

Je, unajua namna ya kuboresha haiba yako?

Je, ukikutana na mtu akakuuliza kama una haiba utamjibu vipi? Pengine huenda ukashindwa kumjibu kwa sababu hujui maana ya neno haiba. Siku moja nilimsikia mtu fulani akimwambia mwenzake.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAHAIDI KUZIDI KUPIGA JEKI WAFANYAKAZI WA AFYA YA JAMII KUBORESHA AFYA YA JAMII VIJIJINI

 Na Mwandishi Wetu,SERIKALI ya Tanzania imeelezea utayari wake wa kupiga jeki na kuwajumuisha wafanyakazi wa afya ya jamii katika nguvukazi ya sekta ya afya (national health workforce) ya taifa ili kuboresha afya ya jamii hususani katika maeneo ya vijijini.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau wa mradi wa mafunzo ya wafanyakazi wa afya ya jamii (Community Health Worker Learning Agenda Project - CHW-LAW) jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji (idara ya uzazi na afya ya mtoto)...

 

9 years ago

Dewji Blog

NHIF waianza 2016 kwa kuboresha huduma zao

PIX 1

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari jana Jijini Dar es salaam (hawapo pichani).

PIX 2

Mkurugenzi wa Masoko, Elimu kwa Umma na Utafiti Rehani Athumani akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maboresho katika Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

PIX 3

Waandishi wa Habari wakifatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na  Uongozi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) jana Jijini Dar es salaam.(Picha na Jacquiline...

 

9 years ago

Global Publishers

Shoga; mwaka 2016 uwe wa kuboresha penzi lenu!

Lovely couple hugging on their bed at home

Asalaam aleykhum! Shoga yangu bila shaka unaelewa kwamba mwaka 2015 uliokuwa na matukio makubwa ya kihistoria duniani na hapa nchini kwetu kufuatia kuwepo uchaguzi mkuu uliomuwezesha Dk. John Pombe Magufuli ‘Mzee wa kutumbua majipu’ kuingia Ikulu ya Magogoni ndo unaishia.

Ni wazi kwamba unatafakari na kufanya tathmini ya mafanikio uliyoyapata katika mwaka huu au namna ambavyo hujafanya kitu chochote cha maendeleo huku ukishuhudia majirani zako wakijenga nyumba, kununua magari, kusomesha...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF kuanza mwaka mpya wa 2016 kwa kuboresha huduma zao

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unategemea kuboresha baadhi ya huduma zao ifikapo 2016 ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma hizo kwa wananchi.
Akiyasema hayo leo Jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Mkuu Michael Mhando amezitaja baadhi ya huduma ambazo wana mpango wa kuziboresha kwa mwaka 2016  zikiwemo za kuongeza huduma ya matibabu ya moyo kwa kutumia bima ya NHIF,kutoa mikopo ya dawa,kurekebisha mfumo wa ulipaji wa baadhi ya huduma pia kubadili...

 

10 years ago

Mwananchi

Bima ya Afya washauriwa kuboresha

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeshauriwa kuboresha huduma za Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili wanachama waweze kupata huduma za afya popote watakapokuwa nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCBRT, Canada kuboresha afya ya uzazi

HOSPITALI ya CCBRT na Serikali ya Canada kupitia Idara ya Mambo ya Nje, Biashara na Maendeleo ya Canada (DFATD), wameingia makubaliano ya dola milioni 10.2 za Canada kwa ajili ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani