Mambo waliyokwepa watiania urais 2015
Kwa kipindi cha  takriban mwezi mmoja tangu baadhi ya wanasiasa wa chama cha CCM na wa upinzani waanze kutangaza azma yao ya kuwania urais, mikakati mingi imetajwa ya kimaendeleo wanayoamini itaibadilisha Tanzania kufikia malengo ya nchi ya kipato cha kati.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-g3Cdedk0SWI/VKQZHk_9wtI/AAAAAAAAAL0/CmZzCZMqeFU/s72-c/Sheik-29Dec2014.jpg)
Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-g3Cdedk0SWI/VKQZHk_9wtI/AAAAAAAAAL0/CmZzCZMqeFU/s640/Sheik-29Dec2014.jpg)
Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Watiania sisi hatujajitakia kuwa maskini
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Rushwa ilivyotawala udhamini wa watiania CCM
10 years ago
Mtanzania03 Feb
JK aibua mambo urais CCM
Esther Mbusi na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwaonya wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kuzungumzia mchakato wa kura ya maoni ya Katiba Mpya, wasomi mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu hotuba yake.
Aliyekuwa Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azaveri Lwaitama, alisema rais anashauriwa vibaya kuhusu mchakato wa Katiba Mpya kuelekea katika kura ya maoni.
Alisema tayari viongozi wa dini wamemsihi kutoharakishwa kwa...
11 years ago
Habarileo18 Jul
Wanaojipitisha urais mambo sasa magumu
MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopewa adhabu kutokana na kuanza harakati za kuomba ridhaa kugombea urais, baadhi yao wako katika hatihati ya ama kuongezewa adhabu au kuenguliwa kwenye kinyang’anyiro hicho.
9 years ago
Michuzi15 Oct
RATIBA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS/MGOMBEA MWENZA KWA VYAMA VYA SIASA (KAMA ILIVYOREKEBISHWA TAREHE 15/10/2015) UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI, 2015
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8ynRIuA4csk/XuOCr6naCFI/AAAAAAALtmQ/sfAGK_DZFUciYtfyzh-UFU0ZAYQeBYM4ACLcBGAsYHQ/s72-c/8ba33e0df5ac386a189da9bf95a9c373.jpg)
MAMBO YAMEIVA CCM...WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS WAPEWA RATIBA YA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-8ynRIuA4csk/XuOCr6naCFI/AAAAAAALtmQ/sfAGK_DZFUciYtfyzh-UFU0ZAYQeBYM4ACLcBGAsYHQ/s400/8ba33e0df5ac386a189da9bf95a9c373.jpg)
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetengaza rasmi ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tekiti cha Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25,2020.
Akitangaza ratiba hiyo leo Juni 12,2020 jijini Dar es Salaa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema ratiba ya kumpata mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza Juni 15 mpaka...
9 years ago
Bongo Movies29 Sep
Mambo mapya 2015, Watanzania Wanasemaje?
Wiki iliyopita niliweka hapa habari kuhusu simu mpya za Huawei aina ya Huawei Y360. Kama ulikosa habari ile, kwa kifupi ni kuwa makampuni makubwa ya simu za mkononi za Huawei na TIGO wameungana na kuleta simu nchini ambazo zinauzwa kwa bei nafuu ya shilingi 160,000 pekee kwenye maduka ya Tigo nchi nzima huku ukirusishiwa pesa uliynunulia kama vifurushi.
Wiki hii nisingependa kuzungumzia simu tena, ila ni maoni ya Watanzania wa kawaida watumiaje na wasio watumiaji wa simu kuhusu habari ile....
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8cUZCbzQE7Y/XuX5MAXKM5I/AAAAAAALtx0/xRorJUptMFUxzv2m9PsARv6ntEQ8PjyjQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-14%2Bat%2B12.45.32%2BPM.jpeg)
JOTO LA URAIS CHADEMA LAPAMBA MOTO, MCH MSIGWA ATAJA MAMBO MATATU ATAKAYOYAFANYA AKIWA RAIS
Charles James, Michuzi TV
UCHUMI imara, kusimamia utawala bora na kuboresha elimu nchini, ndivyo vipaumbele vitatu ambavyo Mtia nia wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mch Peter Msigwa amevitaja.
Mch Msigwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ametangaza rasmi nia yake hiyo ya kugombea Urais kupitia Chadema leo jijini Dodoma ambapo pia alisindikizwa na wabunge wenzake, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi 'Sugu' Hawa Mwaifunga na John Heche.
Akizungumza na wandishi...