Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo mapya 2015, Watanzania Wanasemaje?

Wiki iliyopita niliweka hapa habari kuhusu simu mpya za Huawei aina ya Huawei Y360. Kama ulikosa habari ile, kwa kifupi ni kuwa makampuni makubwa ya simu za mkononi za Huawei na TIGO wameungana na kuleta simu nchini ambazo zinauzwa kwa bei nafuu ya shilingi 160,000 pekee kwenye maduka ya Tigo nchi nzima huku ukirusishiwa pesa uliynunulia kama vifurushi.

Wiki hii nisingependa kuzungumzia simu tena, ila ni maoni ya Watanzania wa kawaida watumiaje na wasio watumiaji wa simu kuhusu habari ile....

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwaka mpya mambo mapya

Katika simulizi zake hizi za kila Jumapili, mwanahabari na mtangazaji nguli Tido Mhando, anaelezea baadhi ya mambo aliyowahi kukutana nayo ndani ya tasnia ya habari, katika kipindi hicho kirefu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mambo mapya katika rasimu

BUNGE Maalum la Katiba, limeingiza mambo mapya 47 katika rasimu ya katiba inayopendekezwa, ambayo hayakuwemo kabisa katika rasimu ya iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wake, Jaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tumerudi upya mambo mapya mwaka mpya

WAPENDWA wasomaji wa safu hii, kabla ya kuwaletea nini ajenda na mjadala wa kijiwe cha leo, tunaomba kwa niaba ya wazee wa kijiwe na kwa unyenyekevu msamaha kwa kutokuwa hewani...

 

5 years ago

Michuzi

Majanga na mitihani inatoa fursa ya kujifunza mambo mapya.


 Nimetumia janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona [COVID19] kujifunza masuala kadhaa (hasa ya virusi na maambukizi) kutoka kwenye maandiko ya kitaaluma na mazungumzo na wataalam. Napenda kuchangia niliyojifunza.

1. Kwanza neno Corona. Corona ni neno la Kilatini. Tafsiri yake kwa Kiswahili ni taji. Corona hutumika zaidi kuelezea “taji la mwanga” linalovika au linalotokana na nyota, jua au mwezi. Jua linapozama, unaona jua na duara la mwanga linalozunguka jua. Hilo duara ndio Corona.

2. Kwanini...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Unafanya Mambo Mapya na Makubwa: Mwinyi Amwambia Magufuli


Raisi mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amempongeza sana Raisi John Magufuli kwa kufanya mambo mengi, mapya na mazuri.

Akisalimia wananchi wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi za ikulu Dodoma, mzee Mwinyi amesema Rais Magufuli anatumia fikra za ujana kufanya mambo makubwa nchini.

Baadhi ya mambo mapya na makubwa aliyofanya Raisi Magufuli ni kuhamishia serikali na wizara zote Dodoma na kujenga ikulu mpya Dodoma.

Raisi Magufuli pia anajenga mradi mkubwa wa umeme unaoitwa Mwalimu Nyerere...

 

10 years ago

Mwananchi

Tido: Ni wakati wa matumaini mapya kwa Watanzania

“ Tutawapatia watanzania matangazo ya moja kwa moja ya uchaguzi, ambayo hawajawahi kuona katika historia ya nchi hii. Kuanzia uchaguzi  wa CCM  hadi kwenye Uchaguzi Mkuu.”

 

10 years ago

GPL

SHEIKH SHARIF AZUA MAPYA YA URAIS 2015

Sheikh Shariff Matongo  akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake  jijini Dar es Salaam(hawapo pichani)kuhusu  ndoto yake ambayo ameoteshwa kuelekea mwaka 2015. Sheikh Sharif Matongo amesema ameoteshwa ndoto ya mwaka 2015 na kupata ushauri kwa mashekh mbalimbali duniani ambavyo vitatokea nchini na viongozi wasipuuze ndoto hiyo. Sharif aliyasema hayo leo ofisini kwake alipokutana na waandishi wa habari...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WANASEMAJE KUHUSU SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO ?

Na Hamida Hassan
Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aliipitisha sheria ya makosa ya mitandao kwa kutia saini.Ni sheria ambayo wengi hawajajua namna itakavyofanya kazi na huenda wengi wakaingia kwenye mtego. Jaqueline Wolper. Miongoni mwa watu watakaojikuta kwenye wakati mgumu kupitia sheria hii ni mastaa, tena hasa wa kike. Je, wao wanaizungumziaje sheria hiyo? Hebu wasikie...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani