Rais Unafanya Mambo Mapya na Makubwa: Mwinyi Amwambia Magufuli
Raisi mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amempongeza sana Raisi John Magufuli kwa kufanya mambo mengi, mapya na mazuri.
Akisalimia wananchi wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi za ikulu Dodoma, mzee Mwinyi amesema Rais Magufuli anatumia fikra za ujana kufanya mambo makubwa nchini.
Baadhi ya mambo mapya na makubwa aliyofanya Raisi Magufuli ni kuhamishia serikali na wizara zote Dodoma na kujenga ikulu mpya Dodoma.
Raisi Magufuli pia anajenga mradi mkubwa wa umeme unaoitwa Mwalimu Nyerere...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HlyKQC6Okzw/default.jpg)
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
Ya Dodoma yasikuvunje moyo — Mzee Msuya amwambia Rais Kikwete
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri mkuu Mstaafu mzee Cleopa David Msuya. (Picha na Maktaba).
Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu, Mheshimiwa Cleopa David Msuya amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya na amemshauri kutokuvunjwa moyo na kile ambacho amekielezea kama “mambo madogo madogo” yanayoendelea ndani ya Bunge Maalum la Katiba.
Aidha, Mzee Msuya amesema kuwa Rais Kikwete hatasahauliwa kwa...
10 years ago
Vijimambo14 Jul
Mambo matano mazuri ya Magufuli akiwa rais
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2787294/highRes/1060755/-/maxw/600/-/3mujumz/-/magufuli.jpg)
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa chama hicho kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Tanzania utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.Kwanza kabisa napenda kumpongeza sana Magufuli kwa hatua aliyofikia na kumtakia kila la heri. Naomba kukiri kwa uwazi kwamba katika uchaguzi unaohusisha vyama vya siasa ni lazima mshindi atapatikana na kwa Tanzania ni lazima mshindi huyo atoke kwenye chama cha siasa.Tanzania ina vyama 22 vilivyosajiliwa na vinavyofanya kazi...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/6i_isjjBFrU/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi13 Jul
UCHAGUZI CCM: Mambo matano mazuri ya Magufuli akiwa rais
10 years ago
Mwananchi14 Jul
UCHAGUZI CCM: Mambo matano ‘mabaya’ Magufuli akiwa rais
9 years ago
MichuziRais Magufuli akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Ramtane Lamamra
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Mwaka mpya mambo mapya
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Mambo mapya katika rasimu
BUNGE Maalum la Katiba, limeingiza mambo mapya 47 katika rasimu ya katiba inayopendekezwa, ambayo hayakuwemo kabisa katika rasimu ya iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wake, Jaji...