Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUMRUDIA MPENZI WA ZAMANI!

Nisiku nyingine tena tunakutana katika safu hii nikiamini umzima na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.Mimi namshukuru Mungu kwa kila jambo, amenijaalia afya njema na nguvu za kutosha kiasi cha kuweza kukuandikia wewe kile ambacho naamini kina umuhimu katika maisha yako ya kimapenzi. Leo ningependa tuzungumzie mambo ya kuzingatia kabla ya kumrudia mpenzi ambaye aidha mmeachana, yupo mbali na wewe au...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya kuzingatia kabla ya kukopa

Mkopo ni makubaliano ya kupeana fedha au vitu kwa lengo la kurudisha fedha/vitu hivyo baada ya muda fulani, kama zilivyo au zikiwa na ziada au riba.

 

10 years ago

GPL

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUWA MJAMZITO

Ujauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke. Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi cha ujauzito hadi baada kujifungua. Katika kipindi cha ujauzito kuna mambo...

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Lupita ampongeza mpenzi wake wa zamani

lupitaNA BADI MCHOMOLO

NYOTA wa filamu nchini Kenya, Lupita Nyong’o, amemtumia salamu za pongezi mpenzi wake wa zamani, Alex Konstantara kwa kuwa anatarajiwa kuitwa baba.

Awali Konstantara alikuwa na uhusiano na Lupita, lakini waliachana kabla hawajapata mtoto na Alex akaamua kufunga ndoa na Lizz Njagah.

“Ni hatua mojawapo ya maisha ya kukuza kizazi, nakutakia kila la heri upate mtoto salama na mwenye afya njema,” aliandika Lupita baada ya mpenzi wake huyo kuweka wazi kwamba anatarajia mtoto hivi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je kutupa picha za mpenzi wa zamani ni haki ?

Nchini Uganda picha za utupu za mwanamuziki Desire Luzinda zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na magazetini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Aliyemfuatilia mpenzi wake wa zamani mtandaoni ahukumiwa

Mmoja wa waathiriwa unyanyasaji wa kimtandao anasimulia yaliyomtokea baada ya mpenzi wake wa zamani aliyemfuatilia kwenye mtandao kwa kujificha ambaye amepatikana na hatia ya kumfuata kisiri na kumtumia mawasiliano

 

10 years ago

GPL

D’BANJ AJIGONGA KWA MPENZI WA ZAMANI

Mwanamuziki kutoka Nigeria D’ Banj. INAVYOONEKANA bado mwanamuziki D’ Banj analo penzi la kweli kwa mpenzi wake wa zamani, Adama Indimi baada ya juzikati kujigonga kwake kwa kumtumia ujumbe mzuri mama wa demu huyo katika siku yake ya kuzaliwa. Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki D’ Banj Adama Indimi. Jamaa alifanya hivyo kupitia mtandao wa Instagram ambapo mbali na kumtakia heri ya kuzaliwa, pia alimuelezea mama...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu athibitisha kuwa ZARI ni mjamzito

Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia ulimwengu kuwa,  mpenzi wake wa sasa ZARI al-maarufu kama “The boss lady”, ni mama mtarajiwa aliyebeba ujauzito wa msanii huyo nguli nchini na kwamba hii sio project nyingine.

Huku akitumia mafumbo kwenye maneno yake ambayo wataalamu wetu wa Kiswahili ndio wametufafanulia kisanifu zaidi, Diamond aliandika

 “Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo muhimu ya kuzingatia uzazi salama

Uzazi ni suala la msingi linalotawala viumbe vyote vilivyo hai duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani