Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo yalivyo kituo cha kutangazia matokeo Dar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo imetangaza matokeo kutoka majimbo zaidi ya 30 na matokeo ya majimbo mengine bado yanasubiriwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO YA DHARURA CHA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM



 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP)  Ernest Mangu, mara baada ya kuwasili katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Dharura cha Polisi, iliyofanyika katika viwanja vya Kituo cha Kati cha Polisi,jijini Dar es salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Katikati (mwenye tai) ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa ambaye pia alihudhuria hafla hiyo.kULIA...

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYO KATIKA MAENEO YALIYO KANDO NA BONDE LA MTO MSIMBAZI,VINGUNGUTI JIJINI DAR

Katika pita pita za kila siku mtaani,hivi karibuni kamera yetu ilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali kama ionyekanavyo pichani hapa.kiukweli mambo si shwari katika eneo hili hasa usalama wa afya kwa wakazi waliozunguka eneo hilo.ukiangalia kwa makini utabaini kuwa kuna watoto wadogo wakiendelea na michezo katika eneo hilo bila kufahamu kuwa wapo hatarini kiafya.
BOFYA HAPA KUTEMBELEA LIBENEKE LA MTAA KWA MTAA  KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe.

BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo nilichopiga kura mimi. Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. Kituo namba 1. Kura za Maalim Seif ni 317 na za Dk Shein ni 5. Kituo namba […]

The post BREAKING NEWS: Matokeo ya kituo Kituo cha Skuli ya Bwagamoyo Wilaya ya Wete Pemba jimbo Mtambwe. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wavamia kituo cha kukusanya matokeo Ukawa

Polisi jijini hapa jana usiku walivamia kituo cha kukusanya matokeo ya nchi nzima cha Chadema kilichopo Kijitonyama na kuwakamata watu wote wanaokiendesha.

 

10 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.

Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.

Hapa usafi ukiendelea.

Hapa ni kazi usafi ukifanyika.

Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azindua Kituo cha Polisi Natta,Wilayani Serengeti Mkoani Mara

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,Mh. Pereira Silima akizindua rasmi Jengo la Kituo cha Polici cha Natta Wilayani Serengeti huku Mkurugenzi Mkuu wa Grumeti Fund,Bw. Brian Harris akishuhudia. Kituo hicho cha Polisi cha kisasa kimegharimu shilingi Milioni 273 ambazo zimetolewa na Grumeti Fund ikiwa ni pamoja na nyumba za kuishi familia mbili za Polisi na mfumo wa kuvuna maji. Naibu Waziri Mambo ya Ndani,Mh. Pereira Silima akikata utepe kufungua rasmi Kituo cha Polisi cha Natta wilayani...

 

10 years ago

Michuzi

CHIKAWE AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO YA DHARURA CHA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP)  Ernest Mangu, mara baada ya kuwasili katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Dharura cha Polisi, iliyofanyika katika viwanja vya Kituo cha Kati cha Polisi,jijini Dar es salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Katikati (mwenye tai) ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa ambaye pia alihudhuria hafla hiyo.kULIA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani