Mamia wauaga mwili wa DC Kyerwa
NA REHEMA MAIGALA
RAIS Jakaya Kikwete, ameongoza mamia ya waombelezaji kuuaga mwili wa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, Luteni Kanali (mstaafu) Benedict Kitenga.
Mwili wa Kanali Kitenga uliagwa jana katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, ambapo viongozi mbalimbali wakiwemo wa CCM na serikali walihudhuria.
Kabla ya kufariki dunia, Kanali Kitenga alilazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akipatiwa matibabu kutokana na kusumbuliwa na shinikizo la damu.
Anatarajiwa kuzikwa leo...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Mamia waaga mwili wa Saria
ALIYEKUWA Ofisa wa Jeshi la Polisi na kiongozi wa zamani katika mchezo wa Riadha Tanzania (RT), ASP Ernest Saria (69), jana mwili wake uliagwa kwa heshima zote za Jeshi la...
11 years ago
Habarileo13 May
Mamia waaga mwili wa Balozi wa Malawi
MAKAMU wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, leo aliongoza mamia ya wananchi wakiwamo viongozi wa Serikali, mabalozi wa nchi mbalimbali na wanataaluma, kuuaga mwili wa Balozi wa Malawi nchini, Flossie Chiyaonga.
11 years ago
Mwananchi13 Oct
Kikwete aongoza mamia kuuaga mwili wa Dk Shija
10 years ago
Michuzi.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MKUU WA WILAYA YA KYERWA MAREHEMU LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO HOSPITALI KUU YA JESHI YA LUGALO, DAR ES SALAAM
.jpg)
.jpg)
11 years ago
CloudsFM05 Jun
10 years ago
StarTV03 Mar
Mamia wajitokeza kuuaga mwili wa Kapt. John Komba.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Mamia ya watanzania wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi Capteni John Komba aliyefariki kutokana na ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu.
Capt. Komba alifariki Februari 28, mwaka huu katika hospitali ya TMJ jijini Dar Es Salaam ambapo mwili wake umesafirishwa kwenda Songea mjini kwa ajili ya misa ya kumuaga na baadaye mwili huo utasafirishwa kuelekea Mbinga kwa ajili ya kupumzishwa kwenye nyumba ya milele.
Mbali na...
10 years ago
StarTV21 Oct
Lowassa aongoza mamia kuaga mwili wa Makaidi Dar.
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeungwa Mkono na Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA , Edward Lowassa ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam kuuaga Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NLD na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Dkt Emmanuel Makaidi.
Marehemu Emmanuel Makaidi alifariki Dunia Octoba 15 katika Hospitali ya Nyagao iliyopo Mkoani Lindi alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu.
Katika...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MTIKILA






11 years ago
GPL
WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU TUPPA