Man United yapata ushindi dhidi ya Villa
Kilabu ya Manchester United iliendelea na rekodi yake nzuri katika uwanja wa Villa Park baada ya kuishinda Aston Villa 1-0 bao lililofungwa na Adnan Januzaj ambaye alianzishwa licha ya kuhusishwa na uhamisho wa mkopo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Oct
Wenger afurahia ushindi dhidi ya Man Utd
10 years ago
Bongo516 Sep
Man United yapata pigo baada ya beki wake Luke Shaw kuvunjika mguu
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video)
Jumamosi ya December 19 zimechezwa mechi saba za Ligi Kuu Uingereza, michezo ambayo ilikuwa inatajwa kuwa na mvuto zaidi ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Sunderland. Huu ulikuwa na mvuto kwa sababu ndio mchezo wa kwanza wa Chelsea kucheza bila kuwepo kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Jose Mourinho.Chelsea imefanikiwa kuifunga Sunderland kwa jumla […]
The post Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video) appeared first on...
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
MOJA KWA MOJA:Watford dhidi ya Man United
9 years ago
BBC
Newcastle United 1-1 Aston Villa
10 years ago
BBC
Newcastle United 1-0 Aston Villa
10 years ago
Habarileo12 Dec
CCM yapata ushindi wa kimbunga Simanjiro
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kimepata viongozi 223 kati ya 281 wa vitongoji na wengine 48 kati ya 55 wa vijiji waliopita bila kupingwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, unaotarajia kufanyika Jumapili.
11 years ago
GPL
TEAM LINEUPS: MANCHESTER UNITED, ASTON VILLA