Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenger afurahia ushindi dhidi ya Man Utd

Arsene Wenger amesema alifurahishwa sana na uchezaji wa timu yake na kueleza kuwa walishangaza Manchester United kuanzia mwanzo wa mechi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Snake Man afurahia ushindi, akosoa

Baba mzazi na kocha wa bondia Mohamed Matumla Junior, Rashid Matumla ‘Snake Man’ amesikitishwa na ushindi wa pointi aliopata mwanaye dhidi ya Mchina, Wang Xia Hua.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Ushindi dhidi ya Chelsea ni muhimu

Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger anaamini kwamba wachezaji wake walipita kikwazo kikuu kwa kuwashinda Chelsea siku ya jumapili katika kombe la Charity Shield.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wenger: Ushindi dhidi ya City umetupa tumaini

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amefichua kuwa ushindi dhidi ya Man City umepiga jeki imani wanayohitaji kutwaa ligi ya Uingereza msimu huu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Man United yapata ushindi dhidi ya Villa

Kilabu ya Manchester United iliendelea na rekodi yake nzuri katika uwanja wa Villa Park baada ya kuishinda Aston Villa 1-0 bao lililofungwa na Adnan Januzaj ambaye alianzishwa licha ya kuhusishwa na uhamisho wa mkopo

 

9 years ago

BBCSwahili

Hiddink: Chelsea waonyeshe hamu dhidi ya Man Utd

Kaimu meneja wa Chelsea Guus Hiddink amesema timu yake inafaa kuonyesha hamu ya kutaka kushinda dhidi ya Manchester United uwanjani Old Trafford leo.

 

10 years ago

Habarileo

Liewing afurahia wakongwe Stand Utd

KOCHA wa Stand United, Patrick Liewig amefurahia kuwepo kwa Masoud Nassoro, Haroun Chanongo na Amri Kiemba kwenye kikosi chake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger ataka ushindi mapemaaa

Arsene Wenger ameitaka timu yake kutafuta ushindi wa mapema katika pambano la mwishoni mwa wiki hii Jumamosi dhidi ya Reading.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Presha ya ushindi hainisumbui

Arsenal imekuwa ikiyaaga mashindano hayo katika misimu minne iliopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Ushindi wa West Ham ni 'ajali'

Klabu ya Arsenal nchini Uingereza imesema kuwa itajikaza na kukabiliana na 'ajali' waliopata baada ya kushindwa kwa mabao 2-0 na klabu ya West Ham siku ya jumapili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani