Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenger:Presha ya ushindi hainisumbui

Arsenal imekuwa ikiyaaga mashindano hayo katika misimu minne iliopita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wenger ataka ushindi mapemaaa

Arsene Wenger ameitaka timu yake kutafuta ushindi wa mapema katika pambano la mwishoni mwa wiki hii Jumamosi dhidi ya Reading.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Ushindi wa West Ham ni 'ajali'

Klabu ya Arsenal nchini Uingereza imesema kuwa itajikaza na kukabiliana na 'ajali' waliopata baada ya kushindwa kwa mabao 2-0 na klabu ya West Ham siku ya jumapili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Ushindi dhidi ya Chelsea ni muhimu

Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger anaamini kwamba wachezaji wake walipita kikwazo kikuu kwa kuwashinda Chelsea siku ya jumapili katika kombe la Charity Shield.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wenger afurahia ushindi dhidi ya Man Utd

Arsene Wenger amesema alifurahishwa sana na uchezaji wa timu yake na kueleza kuwa walishangaza Manchester United kuanzia mwanzo wa mechi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wenger: Ushindi dhidi ya City umetupa tumaini

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amefichua kuwa ushindi dhidi ya Man City umepiga jeki imani wanayohitaji kutwaa ligi ya Uingereza msimu huu.

 

10 years ago

GPL

JB PRESHA YAPANDA

ISHU! Wakati Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ikikutana leo mjini Dodoma kupitia na mwishowe kukata majina ya wagombea wanaowania kuteuliwa kwa nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, presha ya muigizaji Jacob Stephen ‘JB’ imepanda, kwa hofu ya kutokea tafrani miongoni mwa wanachama wa chama hicho. Muigizaji maarufu wa Bongo movie , Jacob Stephen ‘JB’ .
Akizungumza na gazeti hili...

 

10 years ago

Mwananchi

Presha tupu,

Ni presha kila kona ndivyo unavyoweza kusema kwa sasa jinsi Ligi Kuu Bara inavyoendelea katika mbio za ubingwa na wale wanaopigania kujinasua na janga la kushuka daraja msimu huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

IPTL presha tupu

HATIMAYE ripoti ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki...

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA PRESHA TUPU!

Mwandishi  wetu
SIYO siri! Huku jana akiwa ametarajiwa kuripoti tena Kituo Kikuu cha Polisi, Dar (Central) kauli ya serikali kwamba, taasisi za dini ambazo viongozi wake wamekuwa wakitoa matamshi yenye mlengo wa kisiasa zitafutwa mara moja kwani ni kinyume na sheria ya usajili inadaiwa kumpa presha Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Juzi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani