Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manager wa TI Alivyowasili Nchini Tanzania

Manager wa msanii T.I amewasili jana usiku tayari kwa maandalizi ya show ya Serengeti Fiesta Dar es Salaam - unaweza kufuatilia matukio yote live kupitia www.tanzaniabox.com

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK ALIVYOWASILI NCHINI

Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiwa mwenye furaha mara baada ya kumpokea Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck na Mkewe Bibi Schadt (walioshika maua), uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

Office Manager (Controller - Admin Manager - Car Sales)

JOB DESCRIPTIONYou will be responsible for ensuring that all Dealership transactions are processed accurately and timely in accordance our policies and procedures.  You will work closely with our leadership team.  To be successful in this position, you must be well-versed in all facets of accounting, cost control, collections, and margin expansion and financial controls. Being a proactive individual will make you stand out. You must possess proven leadership and coaching abilities with a...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hellofood Tanzania introduces a new Country Manager

Hellofood-Tanzania-11

hellofood the leading online food delivery company in Africa is pleased to announce the appointment of Ms. Nina Holmes as its new Country Manager for Tanzania. Ms. Holmes comes in to take over from Ms. Sherrian Abdul.

Ms Holmes is no stranger to hellofood, having worked previously as Head of Operations for hellofood Kenya. She comes in with a wealthy of knowledge, firm grounding and international experience in operations and customer service. These qualities will set Ms.Holmes in good stead...

 

10 years ago

Vijimambo

SEMINA YA MANAGER WA T.I NA WADAU WA MUSIC TANZANIA.

Mapema leo Manager wa T.I,Jason Geter alikua na Semina na wasanii na wadau mbalimbali wa Music wa Tanzania kwenye ukumbi wa Littel theather jijini Dar es salaam, Jason alitoa somo kwa watu waliohudhuria semina hiyo ikiwa nipamoja na njia zinazoweza wasaidia wasanii wa Tanzania kupata soko la Marekani. Baadhi ya wasanii waliohudhuria semina hiyo. Msanii kutoka bendi ya skylight angela kushaba akiuliza swali. ...

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Tanesco Manager Quizzed As Minister Pays Surprise Visit


Tanzania: Tanesco Manager Quizzed As Minister Pays Surprise Visit
AllAfrica.com
Mwanza — Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) Nyakato Zone manager King Fokanya yesterday found himself in a difficult situation after the minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo, paid a surprise visit to his office and asked him ...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ALIVYOWASILI DODOMA KUONGOZA VIKAO VYA CCM NA KULIHUTUBIA BUNGE

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye uwanja cha ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu Dar, akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na  Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana,...

 

11 years ago

GPL

MARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI‏

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani