Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mandela aenziwe kwa vitendo Afrika

Hayati Nelson Mandela, Rais wa kwanza mzalendo nchini Afrika Kusini leo unapumzishwa kwa safari yake ya mwisho kijijini kwake Qunu Jimbo la Eastern Cape. Ibada ya mwisho ya mazishi ya kiongozi huyo itafanyika leo kabla ya kuanza shughuli ya maziko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Karume aenziwe, si kwa maneno bali vitendo

Watanzania leo wanafanya kumbukizi ya miaka 43 tangu alipouawa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Sheikh Abeid Amani Karume.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mandela akumbukwa Afrika Kusini

Raia Nchini Afrika Kusini wanaadhimisha mwaka mmoja tangu alipofariki Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika hayati Kusini Nelson.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maelfu wamuaga shujaa wa Afrika Mandela

Zaidi ya marais 90 wameungana na wananchi wa Afrika Kusini katika misa ya wafu ya Nelson Mandela na kusimulia kumbukumbu zao kuhusu Shujaa huyo wa Afrika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi Afrika na kivuli cha Mandela

LEO shujaa mwingine mwana wa Afrika, Nelson Mandela (Madiba) anazikwa rasmi kijijini kwake ikiwa ni safari yake ya mwisho hapa duniani. Madiba atabaki kwenye kumbukumbu zetu kama mpigania uhuru aliyekomboa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mandela:Siku ya maombi Afrika Kusini

Wananchi na viongozi wa Afrika Kusini wanashirki maombi ya kitaifa ya kumuenzi na kumkumbuka hayati Nelson Mandela

 

11 years ago

BBCSwahili

Bunge la Afrika Kusini kumuenzi Mandela

Bunge nchini Afrika Kusini, leo linatarajiwa kuwa na kikao maalum cha kumkumbuka Nelson Mandela, huku viongozi duniani wakijiandaa kwa misa ya wafu itakayofanyika Jumanne.

 

11 years ago

Mwananchi

Mandela alileta mapinduzi ya kiuchumi Afrika ya Kusini

Jabali la ukombozi limeondoka duniani. Amefariki akiwa na umri wa miaka 95. Huyo si mwingine bali ni Nelson Mandela ambaye aliwakomboa Waafrika Kusini kutoka kwenye minyororo ya makaburu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mandela aivuta dunia kuhamia Afrika Kusini

Johannesburg. Viongozi zaidi ya sabini wakiwamo wakuu wa nchi na Serikali wanatarajiwa kushiriki hatua mbalimbali za safari ya mwisho ya Mzee Mandela aliyefariki Alhamisi ya Desemba tano usiku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani