Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manji amwengua Bin Kleb Yanga

Yusuf Manji

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Yusuf Manji, umemwengua madarakani Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Abdallah Bin Kleb huku ikiunda upya Kamati ya Utendaji.

Manji na Makamu wake, Clement Sanga walifikia uamuzi huo na kamati zote zilizoko chini ya Kamati ya Utendaji  zitavunjwa kuanzia Julai 30 huku kamati mpya zikianza kazi Agasti mosi mwaka huu.

Akitangaza wajumbe wapya wa Kamati ya Utendaji...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Bin Kleb arudi Yanga

WAJUMBE wenza wa Kamati ya Utendaji ya Yanga katika kusimamia Kamati ya Maendelo ya Michezo chini ya Seif Ahmed ‘Magari’ na Isaac Chanji, wameteua wajumbe 41 akiwemo Abdallah Bin Kleb....

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yamrudisha Bin Kleb kundini

Mwenyekiti wa zamani wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Abdalah Bin Kleb ameteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya mashindano ya klabu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

KAMATI MPYA: Bin Kleb, Nyanda watoswa Yanga

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji na makamu wake, Clement Sanga wamevunja Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo na kuunda mpya huku ikimweka pembeni kinara wa usajili, Abdallah bin Kleb na mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Aaron Nyanda.

 

11 years ago

GPL

Manji ajitoa Yanga SC

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji. Na Hans Mloli
MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, ametangaza rasmi kutowania tena nafasi ya uenyekiti kwenye uchaguzi mkuu wa klabu hiyo utakaotangazwa baadaye mwakani. Manji alichukua wadhifa huo mwaka jana baada ya kuondolewa kwa aliyekuwa Mwenyekiti, Lloyd Nchunga, aliyekuwa amebakiza miaka miwili ya uongozi wake klabuni hapo. Manji ambaye pia ni mfadhili wa klabu hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manji aibuka Yanga

MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji, ameibuka na kudai kuwa kutokuwepo kwake nchini ndiyo sababu ya kutokea kwa maneno ya hapa na pale, huku akiwafuta uanachama wanachama sita na tawi moja....

 

10 years ago

Mwananchi

Tigana: Manji tatizo Yanga

Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Yusuph ‘Tigana’, amesema Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji (pichani) ‘anaivuruga’ klabu hiyo.

 

11 years ago

GPL

Manji amuokoa Kaseja Yanga

Juma Kaseja. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya uongozi wa Yanga juzi Jumanne, kuweka wazi majina ya wachezaji 11 uliowatema, imefahamika kuwa Juma Kaseja aliokolewa na mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji. Mwenyekiti wa timu ya Yanga SC, Yusuf Manji. Imekuwa ikielezwa kuwa Kaseja hatakiwi kwenye kikosi cha Yanga kutokana na kufanya vibaya kwenye msimu uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Awali,… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manji awatega wakorofi Yanga

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, ameamua kujibu mapigo dhidi ya wanachama wanaopinga maamuzi ya mkutano mkuu wa Juni 1, mwaka huu, akiwataka wajiorodheshe kujua idadi na uhai wao...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji kutogombea uenyekiti Yanga

Wakati Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji akitangaza kutokugombea tena nafasi hiyo, Katibu Mkuu wa Yanga, Laurance Mwalusako amefungashiwa virago ndani ya klabu hiyo na nafasi yake sasa kuchukuliwa na Benno Njovu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani