Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mantra yasaini makubaliano na Serikali kupiga vita ujangili wa ndovu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) na Chris Sattler, Afisa Mtendaji Mkuu wa Uranium One, (wa pili kushoto) wakisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) ambao inairuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya urani ya Mantra Tanzania kuwekeza dola za Kimarekani 800,000 katika mwaka 2014 itakayo tumika katika shughuli za kupambana na ujangili katika mbuga za wanyanya nchini Tanzania. Aliyesimama ni Galina Molchanova, Makamu wa Rais wa kamapuni ya Mantra Tanzania. Hafla hiyo fupi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mantra yasaini makubaliano kupiga vita ujangili

KAMPUNI ya Mantra Tanzania na Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya Maliasili na Utalii, wamesaini mkataba wa makubaliano, ambao umelenga kwa pande zote mbili kushirikiana katika kupiga vita ujangili wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali, viongozi wa dini kupiga vita ujangili

WIZARA ya Maliasili na Utalii imekutana na viongozi wa dini nchini kwa lengo la kupaza sauti ya pamoja katika vita dhidi ya ujangili na uhifadhi wa wanyamapori na biashara ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mantra kushiriki vita ya ujangili nchini

 Kampuni ya Mantra Tanzania na Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya Maliasili na Utalii (Wildlife Division) zimesaini mkataba wa makubaliano ambao umelenga pande mbili kushirikiana katika kupiga vita ujangili wa tembo katika eneo la Kusini mwa Hifadhi ya Wanyamapori ya Selous.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yasaini makubaliano ya ujenzi wa Barabara Arusha.


uj1
Mkurugenzi wa barabara Wizara ya Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Ven Ndiyakumana kushoto akisaini mkataba wa awali kuhusu mkopo wa fedha wa riba nafuu utakaosaidia ujenzi wa Barabara ya Arusha hadi Holili kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Idara ya ushirikiano Afrika kutoka Japan (JICA) Bw. Hideyuki Manioka wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Jijini Dar es salaam. uj2Mkurugenzi wa barabara Wizara ya Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Ven Ndiyakumana kushoto akikabidhiana...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania, China kupiga vita ujangili

Balozi wa China nchini, Lu YouqingSERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imesema itahakikisha inasaidiana na Tanzania katika mapambano dhidi ya ujangili, ambapo wametoa msaada wa mashine mbili za kukagua makontena katika bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar.

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa daraja la Salenda

08

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda jana jijini Dar es salaam.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

 

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU AONGOZA MATEMBEZI YA KUPIGA VITA UJANGILI WA TEMBO.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) akipokewa na Bi. Raabia Hawa, Mratibu wa matembezi ya kupiga vita ujangili wa tembo yaliyoanzia Hifadhi ya Taifa Arusha na yanatarajiwa kumalizikia Nairobi, Kenya tarehe 28 mwezi huu. Mwendo ulipokolea na makoto yalivuliwa ili kuwa na wepesi zaidi. Watembeaji wakipumzika kidogo kabla ya kuendelea na matembezi. Bi. Raabia Hawa akifuta machozi baada ya kuguswa na hotuba ya Waziri Nyalandu kuhusu askari...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania na Kenya watiliana saini makubaliano ya kupiga vita biashara haramu ya mbao na mazao ya misitu

DSCF2342

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania, Bi. Gladness Mkamba akifafanua jambo  baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani