Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAOMBI YA MCHANGO WA UJENZI WA MSIKITI

Katika Maisha yetu Wanaadamu Ibada ni Jambo Muhimu saana. Uzuri , Usafi wa sehemu ya kuabudu ni Moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila Nafsi ya Binaadamu.
Katika Nyumba (Msikiti)  huu , Ndugu zetu wanafanya Ibada ya Swala 5 kwa siku , Msikiti huu upo Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Mlamleni Kitongoji cha Kimbangulile. 
Wenzetu wameanza kwa Nguvu zao  Ujenzi wa Msikiti kama Mnavyo uona.Jitihada nyengine wameweza kuwa na Matofali yasiyo pungua 300 kwa Ajili ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya makusanyo ya ujenzi wa Msikiti

Kwa Jina la M/Mungu nina anza Andika , Nawashukuru Ndugu zangu WA TANZANIA ,KENYA na wasio kuwa hao kwa Upamoja wao wa Michango yao ya hali na Mali katika Kuimarisha UJENZI WA MSIKITI UNAONA KATIKA PICHA .

Nakushukuru BLOGS ZOTE ZA TANZANIA shukran za Pekee kwa Brother Mroki Mroki wa Father Kidevu Blog kwa kuwa Balozi Mzuri wa kulitangaza Jambo hili kwa Jamii pamoja na Blogs nyingi Marafiki wa Father Kidevu Blog. Leo Tarehe 30/5/2015 NAOMBA NIULETE MREJESHO HUU KWENU WA MAKUSANYO TOKA...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MAKUSANYO UJENZI YA MSIKITI

Kwa Jina la M/Mungu nina anza Andika , Nawashukuru Ndugu zangu WA TANZANIA ,KENYA na wasio kuwa hao kwa Upamoja wao wa Michango yao ya hali na Mali katika Kuimarisha UJENZI WA MSIKITI UNAONA KATIKA PICHA .

Nakushukuru BLOGS ZOTE ZA TANZANIA shukran za Pekee kwa Brother Mroki Mroki wa Father Kidevu Blog kwa kuwa Balozi Mzuri wa kulitangaza Jambo hili kwa Jamii pamoja na Blogs nyingi Marafiki wa Father Kidevu Blog. Leo Tarehe 30/5/2015 NAOMBA NIULETE MREJESHO HUU KWENU WA MAKUSANYO TOKA TAREHE...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ujenzi wa msikiti Kimbangulile, Mkuranga Pwani

 Msikiti mpya wa Kitongoji cha Kimbangulile, Mkuranga Pwani.  Msikiti wa zamani wa Kitongoji cha Kimbangulile Wilaya ya Mkuranga mkoni Pwani.

Tunamshukuru Mungu kwa wale wote walio tuunga mkono katika harakati hizi Mungu awabariki.

Zaidi pia Mungu awabariki waendeshaji wa blog hii ya Jamii kwa kutuunga mkono katika kupeleka habari kwa Jamii na kutuunga mkono katika harakati zetu.

Ndugu zangu Wapendwa Michango tuliyo kusanya toka mwanzo Program PROJECT zetu za kheri hizi ni Tshs 6,000,000...

 

9 years ago

Michuzi

UJENZI WA MSIKITI KIMBANGULILE , MKURANGA PWANI

 Msikiti mpya wa Kitongoji cha Kimbangulile, Mkuranga Pwani Msikiti wa zamani wa Kitongoji cha Kimbangulile Wilaya ya Mkuranga mkoni Pwani.Tunamshukuru Mungu kwa wale wote walio tuunga mkono katika harakati hizi Mungu awabariki.
Zaidi pia Mungu awabariki waendeshaji wa blog hii ya Jamii kwa kutuunga mkono katika kupeleka habari kwa Jamii na kutuunga mkono katika harakati zetu.
Ndugu zangu Wapendwa Michango tuliyo kusanya toka mwanzo Program PROJECT zetu za kheri hizi ni Tshs 6,000,000 (...

 

10 years ago

Michuzi

NJOREFA WAKABIDHIWA MCHANGO WA MILIONI MOJA ZA UJENZI WA OFISI.

Makabidhiano ya bati yaliyofanyika nje zinapojengwa ofisi za chama cha mpira  Mkoa wa Njombe ( Njolefa) kutoka kushoto ni  Mkurugenzi wa shirika la Tanwat Rajeev Singh, Edymund  Munubi afisa tawala wa Tanwat, Katibu wa Chama cha Mpira Mkoa wa Njombe  Steven Njowoka na wa Mwisho ni Afisa Utamaduni na michezo Mkoa wa Njombe Steven Sanga. Picha na James Festo.
   ======== ==========  ========Na James Festo, Njombe.

CHAMA  chama cha mpira  Mkoa wa Njombe kimepokea mchango  wa bati, saruji na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa achangisha zaidi ya Sh. Mil 200 ujenzi wa msikiti wa Patandi Arusha

unnamed (1)

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha, Edward Lowasa akiwapungia mikono wafuasi wake waliofika katika uwanja wa msikiti mkuu katika hafla ya harambee ya ujenzi wa msikiti wa Patandi ambapo jumla ya kiasi cha zaidi ya sh,200 milioni zilipatikana katika harambee hiyo(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed

Umati mkubwa wa wananchi wa Arusha wakiwa wanampungia mkono Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha ,Edward Lowasa akiwapungia mikono...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA UJENZI WA MSIKITI WA BAKWATA KINONDONI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua makabati maalumu kwa ajili ya kuwekea viatu vya waumini wakati wa swala alipofanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Ijumaa 28, 2020Muonekano wa Msikiti huo

 

10 years ago

Michuzi

CHANGIA UJENZI WA MSIKITI KIJIJI CHA MLAMLENI, MKURANGA, MKOA WA PWANI

 Katika Maisha yetu Wanaadamu Ibada ni Jambo Muhimu saana. Uzuri , Usafi wa sehemu ya kuabudu ni Moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila Nafsi ya Binaadamu.
Nyumba hii ya Ibada ama Msikiti  huu  Ndugu zetu wanafanya Ibada ya Swala 5 kwa siku , Msikiti huu upo Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Mlamleni Kitongoji cha Kimbangulile. Wenzetu wameanza kwa Nguvu zao kwa Ujenzi wa Msikiti huu. Na Jitihada nyengine ni kuwa na Matofali yasiyo pungua 300 kwa Ajili ya kuanza...

 

10 years ago

GPL

MHE LOWASSA AWASILI JIJINI ARUSHA KUONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA MSIKITI WA PATANDI

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwasili jijini Arusha kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti wa Patandi. Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akilakiwa na baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu jijini Arusha alipowasili kwa ajili ya kuongoza harambee ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani