NJOREFA WAKABIDHIWA MCHANGO WA MILIONI MOJA ZA UJENZI WA OFISI.
Makabidhiano ya bati yaliyofanyika nje zinapojengwa ofisi za chama cha mpira Mkoa wa Njombe ( Njolefa) kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa shirika la Tanwat Rajeev Singh, Edymund Munubi afisa tawala wa Tanwat, Katibu wa Chama cha Mpira Mkoa wa Njombe Steven Njowoka na wa Mwisho ni Afisa Utamaduni na michezo Mkoa wa Njombe Steven Sanga. Picha na James Festo.
======== ========== ========Na James Festo, Njombe.
CHAMA chama cha mpira Mkoa wa Njombe kimepokea mchango wa bati, saruji na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi15 Dec
MAWAZIRI WAKABIDHIWA OFISI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akipokea nyaraka za Ofisi wakati akikabidhiwa Ofisi na Waziri aliyemaliza muda wake Dk. Binilith Mahenge Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akikabidhiwa nyaraka za Ofisi na Naibu Waziri aliyemaliza muda wake Mh. Stephen Masele . Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa ...
10 years ago
GPLMBUNGE FILIKUNJOME ATIMIZA PIA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA KWA TSH MILIONI 248, ASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KWA TSH MILIONI 248
10 years ago
GPLWANAHABARI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU WAKABIDHIWA MILIONI 20
10 years ago
MichuziMAOMBI YA MCHANGO WA UJENZI WA MSIKITI
Katika Nyumba (Msikiti) huu , Ndugu zetu wanafanya Ibada ya Swala 5 kwa siku , Msikiti huu upo Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Mlamleni Kitongoji cha Kimbangulile.
Wenzetu wameanza kwa Nguvu zao Ujenzi wa Msikiti kama Mnavyo uona.Jitihada nyengine wameweza kuwa na Matofali yasiyo pungua 300 kwa Ajili ya...
10 years ago
Vijimambo29 Sep
Manzese wakabidhiwa Sh100 milioni kuboresha makazi yao
10 years ago
MichuziWAHITIMU 10 WAKABIDHIWA MILIONI 10 ZA WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Waziri Makamba na Naibu Waziri Mpina Wakabidhiwa Ofisi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akipokea nyaraka za Ofisi wakati akikabidhiwa Ofisi na Waziri aliyemaliza muda wake Dk. Binilith Mahenge Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam.Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akikabidhiwa nyaraka za Ofisi na Naibu Waziri aliyemaliza muda wake Mh. Stephen Masele . Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais...
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA ATAMBUA MCHANGO WA TAASISI YA CUSHMAN NA WAKEFIELD ILIYOSAIDIA UJENZI WA SEKONDARI YA MIONO YA MKOANI PWANI
10 years ago
GPLFAIDA, HASARA ZA WAPENZI KUFANYA KAZI OFISI MOJA