Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAWAZIRI WAKABIDHIWA OFISI


mah1Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akipokea nyaraka za Ofisi wakati akikabidhiwa Ofisi na Waziri aliyemaliza muda wake Dk. Binilith Mahenge Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam. mah2Naibu Waziri   Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akikabidhiwa nyaraka za Ofisi na Naibu Waziri aliyemaliza muda wake Mh. Stephen Masele . Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini jijini Dar es Salaam mah3Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NJOREFA WAKABIDHIWA MCHANGO WA MILIONI MOJA ZA UJENZI WA OFISI.

Makabidhiano ya bati yaliyofanyika nje zinapojengwa ofisi za chama cha mpira  Mkoa wa Njombe ( Njolefa) kutoka kushoto ni  Mkurugenzi wa shirika la Tanwat Rajeev Singh, Edymund  Munubi afisa tawala wa Tanwat, Katibu wa Chama cha Mpira Mkoa wa Njombe  Steven Njowoka na wa Mwisho ni Afisa Utamaduni na michezo Mkoa wa Njombe Steven Sanga. Picha na James Festo.
   ======== ==========  ========Na James Festo, Njombe.

CHAMA  chama cha mpira  Mkoa wa Njombe kimepokea mchango  wa bati, saruji na...

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri Makamba na Naibu Waziri Mpina Wakabidhiwa Ofisi

mah1Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa  Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akipokea nyaraka za  Ofisi wakati akikabidhiwa Ofisi na Waziri aliyemaliza muda wake Dk.  Binilith Mahenge Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam.mah2Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa  Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akikabidhiwa nyaraka za  Ofisi na Naibu Waziri aliyemaliza muda wake Mh. Stephen Masele .  Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini jijini Dar es Salaam.mah3Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa  Rais...

 

11 years ago

GPL

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI WAPYA

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0 OFISI YA RAIS
Hakuna mabadiliko. 2.0 OFISI YA MAKAMU WA RAIS
2.1 Waziri wa… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS DKT.MARY NAGU ATEMBELEA OFISI ZA TASAF

 Waziri wan chi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu Dokta Mary Nagu (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya TASAF kushoto kwake ni mkurugenzi mtendaji wa TASAF Ladislau Mwamanga (mwenye suti  nyeusi). Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akimtembeza Waziri wan chi Ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu katika jingo linalotumiwa kuhifadhi kumbukumbu za walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini.  Waziri wa nchi ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BODI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU WAKUTANA LEO KUJADILI MAENDELEO YA OFISI HIYO

Wajumbe wa Bodi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kikao chao kilichofanyika leo katika ukumbi wa ofisi hiyo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi Pro. Melline Mbonile kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kulia kwake ni Mary Faini kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Doreen Laurent kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na kushoto kwake ni Paula Tibandebage kutoka REPOA na John Mwilima kutoka Wizara ya Fedha. (Picha na...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO.

 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira , January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.
 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –Mazingira Mh. Dk. Eng. Binilith Satano Mahenge, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Tarehe 29 Agosti 2014.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani