Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI KAMALA ATAMBUA MCHANGO WA TAASISI YA CUSHMAN NA WAKEFIELD ILIYOSAIDIA UJENZI WA SEKONDARI YA MIONO YA MKOANI PWANI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimkabidhi cheti Bwana Boris Van Haare Heijmeijer Meneja wa Ulaya wa taasisi ya Cushman na Wakefield cha kutambua mchango wa taasisi hiyo wa kusaidia ujenzi wa Sekondari ya Miono ya Mkoani Pwani. Taasisi hiyo imechangia Shilingi Bilioni 1.2 na imehaidi kuongeza Shilingi Milioni Mia Mbili. Balozi Kamala ameishukuru taasisi hiyo na ameiomba iendelee kusaidia shule hiyo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHALINZE AKABIDHI VIFAA TIBA KITUO CHA AFYA MIONO MKOANI PWANI

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwan Kikwete, amekabidhi vifaa tiba katika kituo cha afya cha Miono,Mkoani Pwani vilivyotolewa kwa hisani ya taasisi ya kifedha ya Stanbic.
Akikabidhi vifaa hivyo kwa mkurugenzi wa halmashauri ya chalinze,alisema vifaa hivi vitakuwa neema na mkombozi kwa mahitaji wa afya kutokana na baada ya ukamilikaji wa chumba cha Upasuaji ambacho kitahudumia wananchi wa maeneo hayo hususan wakina mama wakati wa kujifungua na huduma za upasuaji.
"Nimekuwa nikikosa...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AAGANA VIONGOZI WA TAASISI YA WAFANYABIASHARA YA UBELIGIJI

Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa taasisi ya Wafanyabiara Ubeligiji baada ya kumaliza kikao cha kuagana nao  Brussels. Balozi Kamala anarejea Tanzania baada ya kumaliza kipindi chake cha Kuwa Balozi wa Tanzania Ubeligi, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya.

 

10 years ago

Michuzi

BAN KI MOON ATAMBUA MCHANGO WA RAIS JAKAYA KIKWETE

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon akizungumza siku ya Jumanne, wakati wa uzinduzi wa ripoti mpya kuhusu mkakati wa kimataifa wa kila mwanamke, kila mtoto ambao Ban Ki Moon aliuanzisha mwaka 2010.  Ripoti hiyo inaonyesha kuwa vuguvugu hilo ambalo kwa ushirikiano baina ya wadau mbalimbali zikiwamo serikali, mashirika ya kimataifa, asasi zisizo za kiserikali, wasomi, wanaharakati na sekta binafsi zimewezesha kuokoa maisha ya wanawake na watoto 2.4 milioni.katika picha hii ya maktaba...

 

10 years ago

Vijimambo

BAN KI MOON ATAMBUA MCHANGO WA RAIS JAKAYA KIKWETE

Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Ban Ki Moon, wakifurahia jambo walipokuta katika moja ya mikutano ya kimataifa. Akielezea nini kilichosababaisha vuguvugu hilo la kila mwanamke, kila mtoto kuwa na mafanikio makubwa.Ban Ki Moon alisema utashi wa kisiasa na utayari ulioonyeshwa na viongozi mbalimbali akiwamo Rais Jakaya Kikwete ndio baadhi ya sababu zilizochangia kufanikiwa kwa mkakati huo. Rais Kikwete akiwa mwenyekiti mwenza na Waziri Mkuu wa Canada walisimamia ...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA UWEKEZAJI NA BIASHARA YA BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Belux na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwekezaji na Biashara ya Brussels Bi. Benedicte Wilders (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Kimataifa wa taasisi hiyo Bwana. Philip Feytons. Balozi Kamala amekutana na viongozi hao leo hii Brussels kuwaomba wahimize makampuni ya Brussels kushiriki ziara ya kibiashara inayoandaliwa kufanyanyika Tanzania mwishoni mwa mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

MSHAURI WA ULAYA WA TAASISI YAKUDHIBITI MAGONJWA YA MIFUGO AKUTANA NA BALOZI KAMALA

  Mshauri wa Ulaya wa taasisi  ya kudhibiti magonjwa ya mifugo (GALVmed) Dr. Joris Vandeputte akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala ofisini kwake. Dr Joris amemtembelea Balozi Kamala  kumweleza mipango ya taasisi ya GALVmend ya kusaidia Tanzania na nchi za ACP kupambana na magonjwa ya mifugo.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA USALAMA WA CHAKULA YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Usalama wa Chakula ya Ubelgiji Bwana. Pierre Nassens ( wa pili kutoka kushoto). Balozi Kamala ametembelea taasisi hiyo leo Brussels kushauriana nayo  jinsi inavyoweza kushirikiana na Tanzania. Wengine katika picha ni wataalamu katika taasisi hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MENEJA WA UWEKEZAJI WA TAASISI YA UWEKEZAJI YA WALLONIA YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Uwekezaji wa Taasisi ya Uwekezaji ya Wallonia ya Ubelgiji Bi. Dominique Badot baada ya kumaliza kikao cha maandalizi ya Ziara ya Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji inayopangwa kufanyika Tanzania mwaka huu.

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI INAYOMILIKIWA NA JESHI LA MAGEREZA YAFANA MKOANI PWANI

Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil akimkabidhi cheti Mwanafunzi Mhitimu kwenye Mahafali ya Kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bwawani Oktoba 16, 2015(kulia kwa Mgeni rasmi) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja.Baadhi ya Wahitimu Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Bwawani inayomilikiwa na Jeshi la Magereza wakipiga makofi wakati wa hotuba ya Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani