Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI : Kwaheri wabunge wa Bunge la 10

Rais Jakaya Kikwete kesho atalihutubia Bunge la 10 kwa mara ya mwisho ya uhai wa chombo hicho. Hotuba hiyo ya Rais ni muhimu mno kutokana na ukweli kwamba inahitimisha safari ndefu ya miaka mitano iliyowekwa kikatiba kwa wabunge kuwa wawakilishi wa wananchi katika Bunge hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

TZ: Wabunge wajipa 'mkono wa kwaheri'

Kumekuwa na ghadhabu nchini Tanzania kufuatia uamuzi wa wabunge kujiongeza maelfu ya dola kama marupurupu wanayosema ni mkono wa kwaheri.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwaheri Tume ya Warioba, karibu Bunge la Katiba

>Safari ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba imeshafikia ukingoni, imefika hapa ilipofika. Imekwishakabidhi rasimu yake ya pili kwa Rais Jakaya Kikwete, sasa inasubiri tu kuiwasilisha katika Bunge Maalumu la Katiba mapema mwezi ujao.

 

10 years ago

Michuzi

Wabunge Bunge la SADC wamchagua Mh. Makinda kuwa Rais mpya wa Bunge hilo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisoma hotuba yake ya shukrani kwa wajumbe wa Mkutano wa 36 wa Bunge la SADC ambao ni Maspika na Wabunge kutoka Mabunge ya nchi wanachama wa wa SADC baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Bunge hilo kwa miaka miwili ijayo Mjini Victoria Falls, Zimbabwe. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa Bunge la SADC Dkt. Esau Chiviya mara baada ya kukalia kiti cha Urais wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa rasmi kuwa rais wa Bunge hilo.Spika wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge 51 waanguka kura za maoni

Wakati vyombo vya juu vya baadhi ya vyama vya siasa vikiwa vimeanza hatua za mwisho za kupitisha wagombea wa ubunge na udiwani tayari kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, hadi juzi wabunge 51 walikuwa wameanguka kwenye kura za maoni za ndani ya vyama vyao.

 

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji. Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge Chadema waangukia katika kura za maoni

>Kura za maoni ndani ya Chadema zimeanza kuwa chungu kwa baadhi ya wabunge. Mbunge wa Mbulu, Mustapha Akoonay na mwingine wa Viti Maalumu, Susan Lyimo (Kinondoni) jana waliangukia pua, huku mwenzao wa Karatu, Mchungaji Israel Natse akitangaza kuachana na ubunge na kurejea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Utoro wa wabunge umeathiri Bajeti ya Serikali

Bunge kwa siku kadhaa limekuwa likijadili Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16. Jambo la kusikitisha ni kuwa, kinyume na mijadala ya bajeti kuu za Serikali iliyofanyika miaka ya nyuma, mjadala wa bajeti ya mwaka wa fedha ujao umekuwa na upungufu mkubwa kutokana na kuhusisha idadi ndogo sana ya wabunge.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Mawaziri waache mzaha na hoja za wabunge

>Tatizo la mawaziri kudhihaki au kutoa majibu mepesi wanapojibu maswali ya wabunge ndani ya Bunge, linazidi kuwa kubwa. Baadhi ya mawaziri wamefikia hatua ya kuonyesha kwamba kujibu maswali ya wabunge ni fadhila badala ya kuwa wajibu wao, kwa mujibu wa kanuni za Bunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani