Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: Itafutwe dawa ya utoro Baraza la Wawakilishi

>Kirusi cha utoro ambacho kimekuwa kikilitesa Bunge la Muungano wa Tanzania kwa muda mrefu, sasa kimeingia kwa kishindo kwenye Baraza la Wawakilishi (BLW), ambako shughuli za baraza hilo zimekuwa zikikwama kutokana na  wajumbe kutohudhuria vikao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Utoro wa wabunge umeathiri Bajeti ya Serikali

Bunge kwa siku kadhaa limekuwa likijadili Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16. Jambo la kusikitisha ni kuwa, kinyume na mijadala ya bajeti kuu za Serikali iliyofanyika miaka ya nyuma, mjadala wa bajeti ya mwaka wa fedha ujao umekuwa na upungufu mkubwa kutokana na kuhusisha idadi ndogo sana ya wabunge.

 

5 years ago

Michuzi

WAJUMBE BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA ARUMERU WAKUBALIANA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI NA UTORO SHULENI

Na Woinde Shizza, ARUMERUWajumbe wa baraza la madiwani Halmashauri ya Meru, wilayani Arumeru, wamekubaliana kuwa na agenda ya kutokomeza mimba za utotoni na utoro shuleni kudumu kwenye vikao vya Vijiji na Kata kwa kujikita kuelimisha jamii kuanzia ngazi ya familia. Wajumbe hao wameadhimia hilo, mara baada ya, madiwani wa Kata kadhaa kuwasilishwa taarifa zinazoonesha changamoto ya mimba za utotoni zinazowaka bili wanafunzi katika kata zao. Awali taarifa hizo zimethibitishwa na Idara...

 

10 years ago

Habarileo

Wawakilishi wapewa somo kura ya maoni

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amesema sheria ya kura ya maoni namba 11 ya mwaka 2013 iliyoridhiwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa mujibu wa kifungu 132 (2) ni halali.

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mh. Muhamed Aboud (katikati),akizungumza na mwakilishi wa Wawi CUF,Saleh Nassor Juma kushoto huku Mwakilishi wa Kiembesamaki na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akisikiliza mazungumzo hayo baada ya mapumziko ya kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea hapa Zanzibar huko Chukwani.MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi jimbo Magomeni (CCM) Salmin Awadh Salmin (kushoto),akizungumza na mjumbe wa baraza hilo Ali Mzee Ali...

 

10 years ago

Habarileo

Baraza la Wawakilishi laanza kikao

BARAZA la Wawakilishi limeanza kikao chake jana ambako pamoja na mambo mengine litajadili miswada miwili ya sheria, huku Muswada wa Maadili ya Viongozi ukirudishwa tena kwa kamati kwa ajili ya majadiliano zaidi na kupokea maoni mbalimbali ya wadau kwa maboresho mapya.

 

10 years ago

Habarileo

Dk Shein kuvunja Baraza la Wawakilishi

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein leo anahutubia Baraza la Wawakilishi, akitarajiwa kutumia fursa hiyo kuaga na kusitisha uhai wa Baraza hilo uliodumu kwa miaka mitano na hivyo kumaliza kazi yake kwa mujibu wa Katiba.

 

11 years ago

GPL

BARAZA LA WAWAKILISHI, ZANZIBAR LEO

Wawakilishi wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kabla ya kuingia ndani ya ukumbi kuanza kwa kikao cha Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Muwakilishi wa Jimbo la Nungwi Haji Mwadini Makame kushoto akibadishana mawazo na Muwakilishi waJimbo la Koani Mussa Ali Hassan nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.…
...

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO

Wawakilishi wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kabla ya kuingia ndani ya ukumbi kuanza kwa kikao cha Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar. Muwakilishi wa Jimbo la Nungwi Haji Mwadini Makame kushoto akibadishana mawazo na Muwakilishi waJimbo la Koani Mussa Ali Hassan nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk,Mwinyihaji Makame Mwadini akifahamisha jambo alipowasilisha Mpango wa Maendeleo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani