MAONI: Ripoti ya CAG haitoi matumaini yoyote
>Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha wa 2012/13 imefichua madudu ya ajabu, ambayo bila shaka yatakuwa yameondoa matumaini ya wananchi ya kukua kwa uchumi na kuwaondolea umaskini uliokithiri.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Ripoti CAG balaa
RIPOTI ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Apex wataka ripoti ya CAG
WAFANYAKAZI wa Chama Kilele cha Wakulima wa Tumbaku Tanzania (Apex), wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuweka hadharani taarifa ya ukaguzi wa chama hicho kutokana na kuibuka...
10 years ago
Habarileo20 May
Ripoti ya CAG yaanika madudu
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Ripoti ya CAG yamng’oa meya
10 years ago
Mtanzania24 Nov
… Waziri wa JK adaiwa kuiba ripoti ya CAG
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
JOTO la kashfa ya wizi wa Sh bilioni 306 katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limeendelea kupanda mjini Dodoma, huku mmoja wa mawaziri waandamizi akidaiwa kuuiba ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na kunyofoa baadhi ya kurasa kisha kuzisambaza mitaani.
Tangu kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG bungeni wiki iliyopita, kumeibuka makundi mawili yanayokinzana moja likitaka...
10 years ago
Vijimambo20 May
RIPOTI YA CAG IMEIBUA UFISADI MKUBWA
![](http://api.ning.com/files/yIRAODsxTEyzrQZ8nscVztzoC79rARlMwnm6-8J4x*JdUEuW34kHvY9vnNqqp2XKLRVmhI60CoX6L0f0k329gzMdiHqT6Zbi/cag.jpg?width=600)
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Pinda kukabidhi ripoti ya CAG leo
10 years ago
Mwananchi28 Mar
JK atoa maagizo makali, ripoti ya CAG
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Ripoti za CAG, Kamati kuwang’oa mawaziri?