MAONI: Serikali ifungue tovuti ya ‘Tume’
>Kwa mara ya pili katika kipindi cha miezi sita, tunalazimika tena kuishauri Serikali ione umuhimu wa kuifungua tovuti ya iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Kama wananchi wengi wanavyokumbuka, tovuti hiyo ilifungwa na Serikali siku chache tu baada ya tume hiyo kuvunjwa baada ya kumaliza kazi yake ya kukusanya maoni ya wananchi na kuandaa Rasimu ya Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Serikali ifungue masikio
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na mikutano ya kujiimarisha mikoani chini ya Operesheni M4C Pamoja Daima, huku hoja kubwa ikiwa ni kuishinikiza serikali kuboresha daftari la kudumu la...
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Tovuti Tume ya Mabadiliko ya Katiba ifunguliwe- Wito
10 years ago
GPLTOA MAONI YAKO KUHUSU TOVUTI MPYA YA GLOBAL PUBLISHERS
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Tume Huru inahitajika kura ya maoni
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Je, Kura ya Maoni itasimamiwa na tume huru au hii tunayoipenda sana?
10 years ago
GPL25 Apr
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ShU73SqDBCI/VJq1BZeVVTI/AAAAAAAG5hQ/kX_rgD9Ga-A/s72-c/Taarifa%2Bkwa%2Bumma%2BTOKOMEZA%2BJANUARI%2B2015.jpeg)
Tume Operesheni Tokomeza kukusanya maoni mikoa ya Kaskazini na Kati Januari 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-ShU73SqDBCI/VJq1BZeVVTI/AAAAAAAG5hQ/kX_rgD9Ga-A/s1600/Taarifa%2Bkwa%2Bumma%2BTOKOMEZA%2BJANUARI%2B2015.jpeg)
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 24 Desemba, 2014 na Katibu wa Tume hiyo, Bw.Frederick Manyanda, Tume inatarajiwa kuendelea na zoezi la kukusanya maoni na taarifa kuanzia tarehe 5 Januari , 2015 mpaka tarehe 21 Januari,2015 katika...
10 years ago
Michuzi02 Apr
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Tume “Operesheni Tokomeza” kukusanya maoni Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma, Januari, 2015
Katibu wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, Bw.Frederick Manyanda.
Na. Mwandishi Wetu
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 24 Desemba, 2014 na Katibu wa Tume hiyo, Bw.Frederick Manyanda, Tume inatarajiwa kuendelea na zoezi la kukusanya maoni na taarifa...