Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ifungue masikio

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na mikutano ya kujiimarisha mikoani chini ya Operesheni M4C Pamoja Daima, huku hoja kubwa ikiwa ni kuishinikiza serikali kuboresha daftari la kudumu la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Serikali ifungue tovuti ya ‘Tume’

>Kwa mara ya pili katika kipindi cha miezi sita, tunalazimika tena kuishauri Serikali ione umuhimu wa kuifungua tovuti ya iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Kama wananchi wengi wanavyokumbuka, tovuti hiyo ilifungwa na Serikali  siku chache tu baada ya tume hiyo kuvunjwa baada ya kumaliza kazi yake ya kukusanya maoni ya wananchi na kuandaa Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isizibe masikio changamoto za elimu

Matokeo ya Kidato cha nne yametoka huku wengi wakisema mengi kama ilivyo kawaida. Duniani hakuna jambo jipya lisilo na ngoma. Kila jambo na nyimbo zake. Hivi sasa zipo nyimbo za ufaulu umeshuka, huku wengine wakisema ufaulu umepanda.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya ifungue urais, uwaziri mkuu kwa wanawake

SITAKI kumtaja mtu katika makala hii, lakini najua wapo baadhi ya viongozi haijalishi wamestaafu au wako madarakani, ambao wameonyesha namna walivyo mbumbumbu katika masuala ya siasa, uongozi, haki za binadamu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Macho, masikio sasa Chalinze

HATIMAYE uchaguzi wa ubunge Jimbo la Kalenga umepita na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia mgombea wake, Godfrey Mgimwa, ameibuka mshindi dhidi ya mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

 

10 years ago

Africanjam.Com

UKWELI KUHUSU USIKIVU WA MASIKIO YAKO

Sikio ka kulia hua linasikia vizuri zaidi maongezi mbalimbali na hotuba na sikio la kushoto linasikia zaidi muziki.

 

11 years ago

BBCSwahili

Madaktari waunda masikio toka ubavuni

Kijana wa miaka 9 aliyezaliwa bila maskio apata viungo hivyo baada ya madaktari kuziunda kutoka Ubavuni mwake

 

11 years ago

GPL

UKAWA MSIZIBE MASIKIO; SAUTI ZINAWALILIA

NIANZE safu hii kwa kumshukuru Mungu kwa kutulinda mmoja mmoja na hata taifa letu. Hakika yeye ni mwema. Nikumbushe tu kwamba viongozi wengi wa kisiasa, baadhi ya wananchi, taasisi za kiraia na madhehebu ya dini wanapaza sauti  kuwasihi Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) warejee bungeni. Mwenyekiti wa Ukawa, Freeman Mbowe. Ni wito wa kila mpenda amani kuwataka wajumbe wa kundi hilo kuitikia ombi hilo na kuwaomba waache...

 

10 years ago

Vijimambo

Mama Amuua Mwanae kisa kuwa na Masikio Marefu

Mama amemuua mwanae baada ya kutaka kumuondolea aibu ya kuwa na masikio makubwa.Inadaiwa mama huyo amesababisha kifo hicho akidhani kwamba mwanae akibaki na masikio makubwa yatamfanya akose raha maishani mwake kulingana na sheria za Uturuki atakabiliwa na kesi ya mauaji.Nuray Sacan mwenye umri wa miaka 37 alitoa kiasi cha fedha ili mwanae aweze kufanyiwa upasuaji kwenye hospital ya Gazi jijini Ankara lakini oparesheni hiyo haikuweza kufanikiwa baada ya masikio hayo kubaki katika hali ile...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani