Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA MSIZIBE MASIKIO; SAUTI ZINAWALILIA

NIANZE safu hii kwa kumshukuru Mungu kwa kutulinda mmoja mmoja na hata taifa letu. Hakika yeye ni mwema. Nikumbushe tu kwamba viongozi wengi wa kisiasa, baadhi ya wananchi, taasisi za kiraia na madhehebu ya dini wanapaza sauti  kuwasihi Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) warejee bungeni. Mwenyekiti wa Ukawa, Freeman Mbowe. Ni wito wa kila mpenda amani kuwataka wajumbe wa kundi hilo kuitikia ombi hilo na kuwaomba waache...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali ifungue masikio

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na mikutano ya kujiimarisha mikoani chini ya Operesheni M4C Pamoja Daima, huku hoja kubwa ikiwa ni kuishinikiza serikali kuboresha daftari la kudumu la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Macho, masikio sasa Chalinze

HATIMAYE uchaguzi wa ubunge Jimbo la Kalenga umepita na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia mgombea wake, Godfrey Mgimwa, ameibuka mshindi dhidi ya mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

 

11 years ago

BBCSwahili

Madaktari waunda masikio toka ubavuni

Kijana wa miaka 9 aliyezaliwa bila maskio apata viungo hivyo baada ya madaktari kuziunda kutoka Ubavuni mwake

 

10 years ago

Africanjam.Com

UKWELI KUHUSU USIKIVU WA MASIKIO YAKO

Sikio ka kulia hua linasikia vizuri zaidi maongezi mbalimbali na hotuba na sikio la kushoto linasikia zaidi muziki.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isizibe masikio changamoto za elimu

Matokeo ya Kidato cha nne yametoka huku wengi wakisema mengi kama ilivyo kawaida. Duniani hakuna jambo jipya lisilo na ngoma. Kila jambo na nyimbo zake. Hivi sasa zipo nyimbo za ufaulu umeshuka, huku wengine wakisema ufaulu umepanda.

 

10 years ago

Vijimambo

Mama Amuua Mwanae kisa kuwa na Masikio Marefu

Mama amemuua mwanae baada ya kutaka kumuondolea aibu ya kuwa na masikio makubwa.Inadaiwa mama huyo amesababisha kifo hicho akidhani kwamba mwanae akibaki na masikio makubwa yatamfanya akose raha maishani mwake kulingana na sheria za Uturuki atakabiliwa na kesi ya mauaji.Nuray Sacan mwenye umri wa miaka 37 alitoa kiasi cha fedha ili mwanae aweze kufanyiwa upasuaji kwenye hospital ya Gazi jijini Ankara lakini oparesheni hiyo haikuweza kufanikiwa baada ya masikio hayo kubaki katika hali ile...

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi ya Starkey Hearing Foundation ya Marekani yaendesha kliniki ya masikio mkoani Arusha

7qDAKTARI, Assay Shibanda(kushoto) na John Yuccas wakimwekea mwanafunzi wa Shule ya Msingi Elbol,Levina Innocent mashine ya kuongeza kiwango cha usikivu kwenye Kliniki inayoendeshwa kwa pamojakati ya Montage Limited na taasisi kutoka Marekani ya Starkey Hearing Foundation ya kuwawekea vifaa vya kuongeza usikivu inayofanyika kwenye viwanja vya Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha jana 8qMtaalamu wa matatizo ya usikivu kutoka Taasisi ya Starkey Hearing Foundation ya nchini Marekani, Derek...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani