SIKILIZA SAUTI YA LIPUMBA KABLA UKAWA HAWAJATOKA BUNGENI SIKU YA JANA
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo511 Aug
Utafiti: Sikiliza ‘In Da Club’ ya 50 Cent kabla ya kuingia kwenye usaili wa kazi , utafanya vizuri
10 years ago
VijimamboProf Lipumba ndani ya Rwanda kigali sikiliza mahojiano haya kifupi anasema baada ya kuulizwa swali na mwandishi
Swali: Prof kujiuzuru kwako uenyekiti CUF kunahusishwa na wewe kutumika na CCM kuisambaratisha UKAWA,je ni kweli?majibu kifupi toka kwa Prof Lipumba."...kwanza sijakimbia nyumbani ila nitarudi baada ya wiki moja nipo hapa Kigali nafanya uchunguzi je nijinsi gani Tanzaia inaweza kujifunza toka na maendeleo wanayo yapata Rwanda...
Siwezi kutumika na CCM ila mimi na Dk Slaa na Mbatia tulikutana nyumbani kwangu na kukubaliana kuwa Dk Slaa ndio awe Mgombea urais wa Ukawa
sasa chakushangaza safari...
11 years ago
CloudsFM26 Jul
RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Lipumba atoa somo bungeni
10 years ago
Zitto Kabwe, MB20 Mar
Hotuba Niliyotaka Kuitoa Bungeni Jana
Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma.
Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza tangu nikiwa na umri wa miaka 16 na kupitia chama hiki nimejifunza mambo mengi sana....
10 years ago
VijimamboZIMEBAKI SIKU 4 TU KABLA YA TICKET ZA DIAMOND UHURU PARTY SHOW HAZIJAPANDA,CHUKUA TICKET ZAKO KABLA YA NOV 10 KWA $75 TU.....BAADAYA NOV 10 ZITAKUWA $100
3 COURSE DINNER & LIVE SHOW
LIVE SHOW *DIAMOND PLATNUMZ
LIVE SHOW TANZANIA ALL STARS
RED CARPET WITH CELEBRITY HOST
PROFESSIONAL PHOTOGRAPHER
CASH BAR
...
10 years ago
GPLHOTUBA YA ZITTO ALIYOTAKA KUITOA BUNGENI JANA
10 years ago
GPLMBUNGE WA MBEYA VIJIJINI AANGUKA GHAFLA BUNGENI JANA
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Hoja ya Lipumba yajadiliwa Bungeni, Kauli ya ‘wapigwe tu’ yajirudia