Hoja ya Lipumba yajadiliwa Bungeni, Kauli ya ‘wapigwe tu’ yajirudia
Bunge la Jamhuri ya Muungano leo limejadili kitendo cha uvunjifu wa amani uliotokea kwenye maandamano ya CUF yaliyoongozwa na Profesa Ibrahimu Lipumba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
"Kuna Tatizo gani Lipumba Kupigwa Nawapongeza sana Polisi kwa Kumpiga"Hii ni kauli ya Lusinde Bungeni

Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Askofu Mtetemela alaani kauli ya Lipumba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela, amelaani kauli iliyotolewa na mjumbe mwenzake, Profesa Ibrahim Lipumba ya kulifananisha bunge hilo na...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Askofu Mtetemelwa akemea kauli ya Profesa Lipumba
Askofu Mstaafu, Donald Mtetemela amesema kauli ya Profesa Ibrahimu Lipumba kuwaita Wajumbe wa Bunge la Katiba kuwa ni Intarahamwe inaweza kuamsha hisia za wananchi na kusababisha migogoro nchini na kusema inapaswa kupingwa na kulaaniwa.
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Tunatarajia kuona mwafaka wa hoja bungeni
Watanzania tumeweka historia ya kupiga kura za aina mbili kwa wakati mmoja, kura ya siri na kura ya wazi. Hii inaonyesha ugumu wa kufanya uamuzi.
11 years ago
Mwananchi13 Oct
Kafulila kupeleka hoja binafsi ya IPTL bungeni
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amesema kama Bunge lijalo halitatoa ripoti ya fedha zilizolipwa kwa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow atapeleka hoja binafsi bungeni ya kutokuwa na imani na Serikali.
11 years ago
Mwananchi03 Sep
Mjumbe Arfi arudisha hoja za Ukawa bungeni
Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amelitikisa Bunge jana baada ya kuwasilisha hoja sawa na zile zinazosimamiwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
11 years ago
Mwananchi04 May
Mkirudi bungeni, jengeni hoja zilizokwenda shule
Bunge Maalumu la Katiba limepumzika kwa muda wa angalau miezi mitatu, nasi Watanzania wafuatiliaji wa Bunge hilo tumepumzika na matusi, angalau masikio yetu yatapumua kidogo.
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Lipumba atoa somo bungeni
Mchumi aliyebobea Profesa Ibrahimu Lipumba, amepinga kauli za kuwa Serikali tatu ina gharama na badala yake akasema wanaopendekeza hizo hawana nia njema na Tanzania.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania