Tunatarajia kuona mwafaka wa hoja bungeni
Watanzania tumeweka historia ya kupiga kura za aina mbili kwa wakati mmoja, kura ya siri na kura ya wazi. Hii inaonyesha ugumu wa kufanya uamuzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 May
Mkirudi bungeni, jengeni hoja zilizokwenda shule
Bunge Maalumu la Katiba limepumzika kwa muda wa angalau miezi mitatu, nasi Watanzania wafuatiliaji wa Bunge hilo tumepumzika na matusi, angalau masikio yetu yatapumua kidogo.
11 years ago
Mwananchi03 Sep
Mjumbe Arfi arudisha hoja za Ukawa bungeni
Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amelitikisa Bunge jana baada ya kuwasilisha hoja sawa na zile zinazosimamiwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
11 years ago
Mwananchi13 Oct
Kafulila kupeleka hoja binafsi ya IPTL bungeni
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amesema kama Bunge lijalo halitatoa ripoti ya fedha zilizolipwa kwa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow atapeleka hoja binafsi bungeni ya kutokuwa na imani na Serikali.
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Hoja ya Lipumba yajadiliwa Bungeni, Kauli ya ‘wapigwe tu’ yajirudia
Bunge la Jamhuri ya Muungano leo limejadili kitendo cha uvunjifu wa amani uliotokea kwenye maandamano ya CUF yaliyoongozwa na Profesa Ibrahimu Lipumba.
10 years ago
Mwananchi24 Jun
‘Bwege’, Keissy wabunge wanaotumia mzaha kuwasilisha hoja nzito bungeni
Nakumbuka wakati nikiwa shule ya msingi, mwalimu wa Kiswahili alikuwa akipendwa sana na wanafunzi na siri kubwa ilikuwa aina yake ya ufundishaji wake.
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Mwelekeo mpya bungeni, Pinda atoa hoja kutuliza hali ya hewa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alifanikiwa kutuliza hali ya hewa bungeni baada ya kutoa mapendekezo yaliyoungwa mkono na pande zote zilizokuwa zinavutana kuhusu kupitisha baadhi ya vifungu vya Kanuni za Bunge la Katiba.
11 years ago
Michuzi.jpg)
busara, amani na nguzu za hoja zatawala semina ya kujadili rasimu ya kanuni bungeni dodoma leo
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Tunatarajia matakwa ya wananchi yazingatiwe
>Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Bunge la Katiba limezinduliwa na limeanza kazi zake huko Dodoma. Wajumbe kutoka Zanzibar na Tanzania Bara watakutana kwa muda wa miezi mitatu katika uhai wa Bunge hilo wakijadili rasimu ya pili ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Tunatarajia matunda M4C Pamoja Daima
JANUARI 22, mwaka huu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliamua kuwasha moto nchi nzima kwa wiki mbili mfululizo, lengo likiwa kujiimarisha kichama na kujadiliana na wananchi kuhusu masuala nyeti...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania