UKWELI KUHUSU USIKIVU WA MASIKIO YAKO
Sikio ka kulia hua linasikia vizuri zaidi maongezi mbalimbali na hotuba na sikio la kushoto linasikia zaidi muziki.
africanjam.com
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
‘Mbwambo, simamia ukweli hata ukibaki peke yako’
Ndugu Mbwambo, nashukuru uliyoyasema kuhusu Edward Lowassa kwamba hafai kuwa rais wa nchi hii, na
Johnson Mbwambo
10 years ago
VijimamboUkweli kuhusu Dr. Slaa by A.N Chilongola (LLM)
Taharuki imetanda juu ya wapi alipo Katibu mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa. kila mtu anazungumza lake kwa kadri anavyoelewa. wengine wakisema yupo kwenye maandalizi ya vikao vya kamati kuu na wengine wakisema amejificha kwa sababu hakubaliani na maamuzi ya kumleta EL kwenye chama.
Mimi kama kada wa chadema wa muda mrefu na mwanasheria mzoefu nimefanya utafiti na nimejiridhisha bila shaka yoyote kuwa hali si shwari ndani ya chadema licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa kuonesha kuwa hakuna...
Mimi kama kada wa chadema wa muda mrefu na mwanasheria mzoefu nimefanya utafiti na nimejiridhisha bila shaka yoyote kuwa hali si shwari ndani ya chadema licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa kuonesha kuwa hakuna...
11 years ago
Mwananchi18 May
Tupeni ukweli kuhusu dawa ya Truvada
Yapo matumaini makubwa ya kukabiliana na janga la Ukimwi kama wananchi watakubali kuwa mstari wa mbele kupambana na adui huyo mkubwa anayeingia nyumbani.
11 years ago
GPLUKWELI KUHUSU UHUSIANO WA WASTARA NA BOND
ANATOKA KIMAPENZI NA WASTARA?
Nakukubali sana kaka Bond lakini napenda kukuuliza kwamba kuna madai kuwa unatoka kimapenzi na Wastara Juma (mwigizaji). Je, ni kweli? Husna, 0689341478. BOND: Siyo kweli. Mimi ni meneja wa Wastara. Pia ni mwongozaji wake wa filamu kwa hiyo tuna mikataba mingi ya kufanya kazi muda mrefu sana. UHUSIANO NA AUNTY LULU
Kiukweli kama una uhusiano na Aunty Lulu (Semagongo) mwache tu kwa sababu...
10 years ago
GPLKUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU
Na waandishi Wetu
NIkweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na kupewa fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho, ukweli wa jambo hilo umeibuliwa, Uwazi linakupa zaidi. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1N6u2sS...
11 years ago
GPLHUU NDO UKWELI KUHUSU USAJILI WA OKWI
Hati ya Usajili wa Emmanuel Okwi kama inavyoeneka kwneye system ya CAF. Uongozi wa klabu ya Young Africans umeamua kuweka hadharani ukweli kuhusiana na usajili wa mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi ambaye kamati ya maadili na hadhi za wachezaji imemzuia kuichezea Young Africana mpaka watakapopata uthibitisho kutoka FIFA. Young Africans ilikamlisha usajili wa mshambuliaji huyo tangu Disemba 15 mwaka...
10 years ago
Mwananchi05 Sep
TFDA ichunguze ukweli kuhusu dawa hizi
Dunia hivi sasa inatikiswa na taarifa za kisayansi kwamba mojawapo ya dawa ya meno iliyopo kwenye soko ina kemikali aina ya triclosan ambayo ina sababisha ugonjwa wa saratani ambao kisayansi hadi hivi sasa hauna tiba.
10 years ago
Habarileo17 Dec
ESCROW: Wanazuoni waukubali ukweli kuhusu Prof Tibaijuka
WANAZUONI, wanasiasa na wananchi wamepongeza ufafanuzi wa Bodi ya Wadhamini ya Joha Trust kuhusu mchango wa Sh bilioni 1.617 kutoka kwa Mmiliki wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, James Rugemalira kwa shule za Joha.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania