Mapalala: Warioba amewavuruga CCM
Mwanasiasa mwenye historia ya kipekee nchini, James Mapalala amesema ufafanuzi wa Rasimu ya Katiba uliotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, umekiacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye wakati mgumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Mapalala akumbuka minyororo aliyofungwa
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Mapalala agoma kupiga kura
11 years ago
TheCitizen26 Mar
Mapalala queries committee poll
11 years ago
TheCitizen24 Apr
Warioba warns CCM
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Warioba achana na CCM
SINA budi nianze kwa kumpa pole ya dhati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba. Kazi aliyofanya pamoja na tume yake ni kubwa sana. Kwakuwa...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Warioba mwiba CCM
HILA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, huku wakitumia kitisho cha jeshi kuasi iwapo mfumo wa serikali tatu utaridhiwa...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Warioba aiua CCM
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikijipanga kusimamia hoja yake ya kutaka mfumo wa serikali mbili ulioboreshwa, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kwamba mfumo...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Warioba akata ngebe za CCM
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amezima rasmi sakata la makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kulazimisha Bunge Maalumu la Katiba kukataa pendekezo la Tume ya...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
CCM yalaumiwa kutukanwa Warioba
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaumiwa kwa kuwatumia vijana kumtukana aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, kwamba hatua hiyo ni kulidhalilisha taifa. Serikali kupitia Wizara...