Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapambano yazuka Kariakoo kati ya wamachinga, polisi

>Mitaa ya Kariakoo imegeuka kuwa uwanja wa  mapambano baada ya polisi na wafanyabiashara ndogo ndogo, kushambuliana kwa mawe na mabomu ya machozi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi waondoa wamachinga Kariakoo

JESHI la Polisi limesema operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo ‘wamachinga’ kwenye maeneo yasiyo rasmi katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam imefanikiwa. Operesheni hiyo ilihusisha zaidi ya askari 200 wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wamachinga wapambana na polisi Kariakoo

>Jeshi la Polisi limelazimika  kutumia mabomu ya machozi kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) katika Soko Kuu la Kariakoo.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mapambano yazuka upya Burkina Faso

Mapambano yamezuka kwenye hoteli katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou, ambako mazungumzo ya amani yamekuwa yakifanyika, baada ya mapinduzi ya juma lilopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni hii ianze na wamachinga Kariakoo

KUMEKUWA na mipango mingi inayotangazwa na serikali ya kuwaondoa wafanyabiashara (wamachinga) katika maeneo ambayo si rasmi jijini Dar es Salaam lakini hakuna utekelezaji.   Kutokana na kauli hizo zinazotolewa na viongozi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mapambano ya nyuma ya pazia kati ya Marekani na China baada ya mlipuko wa virusi vya corona

Virusi vya corona vinaweza kuthibitisha kati ya mataifa hayo yenye nguvu duniani nani anapaswa kuwa juu ya mwingine

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Jamii yasitishwa Kariakoo

>Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesimamisha shughuli zinazofanywa na Polisi Jamii baada ya kubainika kuwapo kwa vitendo vya wizi katika maeneo ya Kariakoo.

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MAPAMBANO NA MAJAMBAZI TANGA


Paul Chagonja Kamishina wa Polisi-Operedheni na Mafunzo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani