WAMACHINGA KARIAKOO WALIA NA MGAMBO WA JIJI LA DAR
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMGAMBO WA JIJI WAITIKISA KARIAKOO
11 years ago
Mwananchi02 May
Wamachinga wapambana na polisi Kariakoo
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Polisi waondoa wamachinga Kariakoo
JESHI la Polisi limesema operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo ‘wamachinga’ kwenye maeneo yasiyo rasmi katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam imefanikiwa. Operesheni hiyo ilihusisha zaidi ya askari 200 wa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Operesheni hii ianze na wamachinga Kariakoo
KUMEKUWA na mipango mingi inayotangazwa na serikali ya kuwaondoa wafanyabiashara (wamachinga) katika maeneo ambayo si rasmi jijini Dar es Salaam lakini hakuna utekelezaji. Kutokana na kauli hizo zinazotolewa na viongozi...
11 years ago
Mwananchi10 May
Mapambano yazuka Kariakoo kati ya wamachinga, polisi
10 years ago
Habarileo24 Dec
Wamachinga wafunga barabara Dar, 24 mbaroni
WAFANYABIASHARA ndogo (machinga) wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, jana walizua vurugu katika mitaa ya eneo hilo, kupinga operesheni ya kuwaondoa kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa huku wakitaka walio katika maeneo ya barabarani ndiyo waondolewe.
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Libeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’
Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.
Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...
10 years ago
Michuzi