Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi waondoa wamachinga Kariakoo

JESHI la Polisi limesema operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo ‘wamachinga’ kwenye maeneo yasiyo rasmi katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam imefanikiwa. Operesheni hiyo ilihusisha zaidi ya askari 200 wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wamachinga wapambana na polisi Kariakoo

>Jeshi la Polisi limelazimika  kutumia mabomu ya machozi kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) katika Soko Kuu la Kariakoo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapambano yazuka Kariakoo kati ya wamachinga, polisi

>Mitaa ya Kariakoo imegeuka kuwa uwanja wa  mapambano baada ya polisi na wafanyabiashara ndogo ndogo, kushambuliana kwa mawe na mabomu ya machozi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni hii ianze na wamachinga Kariakoo

KUMEKUWA na mipango mingi inayotangazwa na serikali ya kuwaondoa wafanyabiashara (wamachinga) katika maeneo ambayo si rasmi jijini Dar es Salaam lakini hakuna utekelezaji.   Kutokana na kauli hizo zinazotolewa na viongozi...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Jamii yasitishwa Kariakoo

>Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesimamisha shughuli zinazofanywa na Polisi Jamii baada ya kubainika kuwapo kwa vitendo vya wizi katika maeneo ya Kariakoo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Libeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’

Screen-Shot-2014-08-20-at-9.10.20-AM

Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya  www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.

Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania sasa waondoa kusudio la kumg’oa Zziwa

Wabunge kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki (Eala-TZ) wameondoa kusudio lao la kutaka kumng’oa Spika Margaret Natongo Zziwa kutoka Uganda kwa madai kuwa wamebaini hoja zilizojengwa kutimiza dhamira hiyo, hazina mashiko.

 

11 years ago

Mwananchi

Monduli waondoa hisia kuwa Sokoine aliuawa

Leo ni miaka 30 tangu aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari eneo la Dumila mkoani Morogoro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tatizo si wamachinga, ni serikali

HIVI karibuni Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ilitangaza kuanzisha Operesheni Safisha Jiji ya kuwaondoa wamachinga wote walio katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani