Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGAMBO WA JIJI WAITIKISA KARIAKOO

Huu ni uchafu ambao unalalamikiwa na wafanyabiashara katika Mtaa wa Mkunguni jijini Dar es Salaam. Eneo la Mkunguni kama linavyoonekana pichani watu mbalimbali wakiwa katika harakati za kutafuta riziki lakini pembeni yake kuna uchafu ambao ni kero kubwa katika shughuli zao za kila siku .…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Libeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’

Screen-Shot-2014-08-20-at-9.10.20-AM

Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya  www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.

Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mgomo wa pikipiki waitikisa Chad

Mamlaka za usafirishaji nchini Chadi wamefunga shule zote na vyuo nchini humo baada ya kutokea mgomo mkubwa wa waendesha pikipiki.

 

11 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WAITIKISA KOLOMBIA

Polisi Wa  kuzuia uhalifu Mtandao. Wakala unaofuatilia matumizi ya mitandao duniani (IAB) umebaini watumiaji wa intaneti nchini Kolombia wamekua ni asilimia 70 ya wakazi milioni 47 wa nchi hiyo huku ikibainishwa ya kuwa nchi hiyo ukuaji wa uhalifu mtandao umeendelea kukua kwa zaidi.


Mwaka 2011 Kolombia ilikua Nchi ya kwanza kuanzisha sera ya usalama mitandao katika ukanda wan chi za latini amerika kupitia baraza la taifa la nchini humo linaloshughulikia maswala ya sera za uchumi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Urais 2015 waitikisa nchi

 Mjadala wa urais mwaka 2015 unaonekana kuanza kuitikisa nchi kutokana na vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kujitokeza hadharani na kutangaza nia, huku wasomi, viongozi wa dini, wanaharakati na vyama vya siasa wakitaja sifa za mgombea.

 

10 years ago

GPL

MAWIFI WAITIKISA NDOA YA CATHY

Stori: Gladness Mallya NDOA ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ipo katika mtikisiko mkubwa kufuatia mawifi zake kumpenda zaidi mwanamke aliyezaa na mumewe kabla hajaolewa. Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Chanzo makini kinasema Cathy yupo katika wakati mgumu kwani amesimama na mumewe tu na hakuna hata wifi mmoja ambaye anamkubali, bali wote wameelekeza nguvu...

 

11 years ago

GPL

Messi, Chanongo waitikisa Zanzibar

Na Abdi Suleiman, Zanzibar.
SIMBA imeanza vizuri Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AFC Leopard ya Kenya, huku viungo wa timu hiyo, Ramadhan Singano ‘Messi’ na Haruna Chanongo wakionyesha uwezo wa juu. Katika mechi hiyo iliyochezwa juzi usiku kwenye Uwanja wa Amani Mjini Unguja, huku Mgeni rasmi akiwa ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, Simba ilipata bao katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Ukawa waitikisa CCM Arusha Mjini

Godbless-Lema-Arusha*Matokeo ya awali, Lema aelekea kushinda ubunge

*CCM, CUF waumana Handeni Mjini, Wachachewajitokeza

NA WAANDISHI WETU, ARUSHA/TANGA

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, anaelekea kurejea tena bungeni  huku akimwacha kwa mbali mpinzani wake, Philemon Mollel wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika matokeo ya awali ambayo yalibandikwa vituoni katika baadhi ya kata za Arusha, yanaonesha  Lema anaongoza takribani katika vituo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani