Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Messi, Chanongo waitikisa Zanzibar

Na Abdi Suleiman, Zanzibar.
SIMBA imeanza vizuri Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AFC Leopard ya Kenya, huku viungo wa timu hiyo, Ramadhan Singano ‘Messi’ na Haruna Chanongo wakionyesha uwezo wa juu. Katika mechi hiyo iliyochezwa juzi usiku kwenye Uwanja wa Amani Mjini Unguja, huku Mgeni rasmi akiwa ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, Simba ilipata bao katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Giants battle for Utd’s Chanongo

Dar es Salaam. Mainland champions Young Africans and Stand United are set to embroil themselves in a two-way battle for the Shinyanga team’s midfield maestro Haruna Chanongo, it has been revealed.

 

10 years ago

GPL

Usajili wa Haruna Chanongo Yanga SC kizungumkuti

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Haruna Chanongo. Hans Mloli na
Sweetbert Lukonge
ISHU ya usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Simba, Haruna Chanongo kutua Yanga, imechukua sura mpya baada ya juzi staa huyo kukaa mezani na uongozi wa Yanga lakini hakuna kilichokamilika mpaka jana jioni. Chanongo ambaye amemaliza msimu ulioisha hivi karibuni akiwa na Stand United akiitumikia kwa mkopo kutoka Simba, amekuwa akihusishwa kuwaniwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA WATAKIWA KUMLIPA CHANONGO MIL 11

Klabu ya Simba SC inatakiwa kumlipa mchezaji Haruni Chanongo sh. 11,400,000,  kufikia Aprili 30, 2015 vinginevyo Sekretarieti ya TFF itaanza kukata mapato ya Simba ili kumlipa mchezaji huyo. Iwapo Simba itakuwa na vielelezo vingine katika kikao kinachofuata cha Kamati kitakachofanyika Mei 3, 2015 itafanywa hesabu na Simba kurejeshewa fedha itakayokuwa imezidi.
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF imeagiza kwa klabu ya Simba na klabu nyingine zote kuwa kwa wachezaji wa mkopo, maslahi...

 

10 years ago

GPL

Chanongo atengwa Stars, Azam fc yamzingua

Kiungo Haruna Chanongo. Ibrahim Mussa,Dar es Salaam
KIUNGO Haruna Chanongo aliyeitwa katika kikosi cha Taifa Stars kujiandaa na mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2017, jana Ijumaa alitengwa katika mazoezi ya timu hiyo yaliyosimamiwa na Kocha Mart Nooij. Wakati Chanongo akitengwa kwenye mazoezi hayo, Azam FC imesema haina mpango na mchezaji huyo licha ya kupiga picha akiwa amevaa jezi ya timu hiyo ambayo ilisambaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mashabiki wataka Chanongo, Humoud warudi Simba

Dar es Salaam. Mashabiki wa timu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam wanaomba kinda wao winga Haruna Chanongo arudishwe kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo.

 

10 years ago

GPL

Chanongo apigwa ‘stop’ kwenda Mazembe

Mshambuliaji wa Stand United, Haruna Chanongo. Na Idd Mumba, Mwanza
MSHAMBULIAJI wa Stand United, Haruna Chanongo, amepigwa ‘stop’ kwenda kufanya majaribio kwenye kikosi cha timu ya TP Mazembe kutokana na kocha wa timu hiyo kuwa bize kwa sasa. Chanongo amekuwa katika mipango ya muda mrefu ya kwenda kwenye majaribio kwenye timu hiyo, lakini juzi alifunguka kuwa hawezi kwenda kwa sasa kwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo...

 

11 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WAITIKISA KOLOMBIA

Polisi Wa  kuzuia uhalifu Mtandao. Wakala unaofuatilia matumizi ya mitandao duniani (IAB) umebaini watumiaji wa intaneti nchini Kolombia wamekua ni asilimia 70 ya wakazi milioni 47 wa nchi hiyo huku ikibainishwa ya kuwa nchi hiyo ukuaji wa uhalifu mtandao umeendelea kukua kwa zaidi.


Mwaka 2011 Kolombia ilikua Nchi ya kwanza kuanzisha sera ya usalama mitandao katika ukanda wan chi za latini amerika kupitia baraza la taifa la nchini humo linaloshughulikia maswala ya sera za uchumi na...

 

10 years ago

GPL

MAWIFI WAITIKISA NDOA YA CATHY

Stori: Gladness Mallya NDOA ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ipo katika mtikisiko mkubwa kufuatia mawifi zake kumpenda zaidi mwanamke aliyezaa na mumewe kabla hajaolewa. Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Chanzo makini kinasema Cathy yupo katika wakati mgumu kwani amesimama na mumewe tu na hakuna hata wifi mmoja ambaye anamkubali, bali wote wameelekeza nguvu...

 

11 years ago

Mwananchi

Urais 2015 waitikisa nchi

 Mjadala wa urais mwaka 2015 unaonekana kuanza kuitikisa nchi kutokana na vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kujitokeza hadharani na kutangaza nia, huku wasomi, viongozi wa dini, wanaharakati na vyama vya siasa wakitaja sifa za mgombea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani